Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi ni mwalimu wa shahada natafuta mwalimu yeyote anayetaka kuja halmashaur ya urambo tabora.
VIGEZO.
1. Awe mwalimu wa Sekondari
2. Awe anatoka wilaya ya KOROGWE.
Kwa anayehitaji tuwasiliane kwa namba zifuatazo.
0757 400 801
0764 458 502
Mimi ni mwl wa sekondari
nipo Simanjiro wilayan nahitaji kwa aliyeko Mwanza jiji, Geita mjin,
Morogoro mjini au Shinyanga mjini tuwasiliane 0713173873
nini kinachokufanya uhame?