natafuta mtu wakubadilishana naye kituo cha kazi aje urambo Tabora!

natafuta mtu wakubadilishana naye kituo cha kazi aje urambo Tabora!

Asango

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
234
Reaction score
25
mimi ni mwalimu wa shahada natafuta mwalimu yeyote anayetaka kuja halmashaur ya urambo tabora.
VIGEZO.
1. Awe mwalimu wa Sekondari
2. Awe anatoka wilaya ya KOROGWE.

Kwa anayehitaji tuwasiliane kwa namba zifuatazo.
0757 400 801
0764 458 502
 
sasa we unataka kuhama unataka kwenda wapi?
 
Mimi ni mwl wa sekondari nipo Simanjiro wilayan nahitaji kwa aliyeko Mwanza jiji, Geita mjin, Morogoro mjini au Shinyanga mjini tuwasiliane 0713173873
 
ndo kusema hampataki urambo?
 
mimi ni mwalimu wa shahada natafuta mwalimu yeyote anayetaka kuja halmashaur ya urambo tabora.
VIGEZO.
1. Awe mwalimu wa Sekondari
2. Awe anatoka wilaya ya KOROGWE.

Kwa anayehitaji tuwasiliane kwa namba zifuatazo.
0757 400 801
0764 458 502

labda ungekuwa wazi zaidi,kwanini umefikiria kuhama?
 
Mimi ni mwl wa sekondari
nipo Simanjiro wilayan nahitaji kwa aliyeko Mwanza jiji, Geita mjin,
Morogoro mjini au Shinyanga mjini tuwasiliane 0713173873

nini kinachokufanya uhame?
 
wewe mwl kaa huko huko maisha popote anzisha ukoo wako huko
 
Back
Top Bottom