Natafuta Mume alieokoka

daso

Member
Joined
Jun 26, 2017
Posts
15
Reaction score
28
Niko single kwa miaka 36, sijapata mtu mwenye vigezo vifuatavyo;
Mume
- Alieokoka

- Umri kuazia 37-40

- Mweye mtoto 1 au 2, asiyetaka kuwa na mtoto tena au Ambaye ana nguvu za kiume lakini mbegu zinashindwa kuzalisha.

- Mweye Nia ya dhati ya kuoa

- HIV negative

Asante na karibu sana mume kutoka kwa Bwana.
 
Aiseeee hivyo vigezo ni vigumu ila fresh Mungu anajibu na ww atakujibu.
 
Age imenikata tu hapo daaa πŸ€ πŸ˜†πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kama umeokoka na kweli unatafuta mume seriously, nenda kwenye makanisa tofauti-tofauti ya kilokole. Uombewe kwanza halafu ndipo utafute mume
 
Wokovu wa mtu unapaswa kuutambua by observation lakini Kwa kutoa nafasi mtu kujileta mwenyewe ni rahisi kuramba garasha!

Atajifanya ameokoka mwanzoni badae anarudia hali yake kama ni ya ulevi , Umalaya m.k.
 
Kuhusu mbegu dhaifu hiyo sizani kama ni tatizo la kudumu.

Mwingine ukimpiga lishe nzuri michemsho ya sangala na sato na mazagazanga ya lishe mbegu zinaimarika.

Kwa hiyo hapo tafakari vizuri kabla ya kuamua.
 
Kuhusu mbegu dhaifu hiyo sizani kama ni tatizo la kudumu.

Mwingine ukimpiga lishe nzuri michemsho ya sangala na sato na mazagazanga ya lishe mbegu zinaimarika.

Kwa hiyo hapo tafakari vizuri kabla ya kuamua.
Hahahahaa...
Atadhani jamaa hawezi kutungisha, mara anaanza kuhisi hamu ya kula udongo na maembe machanga 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…