Natafuta Mume alieokoka

Natafuta Mume alieokoka

Kuna haja ya kuanzisha ofisi ya udalali ili kukutanisha watu wanaotaka kuoa/kuolewa...
 
Niko single kwa miaka 36 sijapata mtu mwenye vigezo vifuatavyo

_Alieoka

_Umri kuazia37_40

_Mweye mtoto 1au2

_Asiyetaka kuwa na mtoto Tena

_Au Ambaye ana nguvu za kiume lakini mbegu zinashindwa kuzalisha

_Mweye Nia ya dhati ya kuoa

_HIVnegative
Asante na karibu sana Mume kutoka Bwana
Nakuombea umpate huyu jamaa ila nakukumbusha kuwa wengi hawajui mapenzi na hawezi kukufikisha kileleni lakini pia

Wengi hawana akili za maisha
 
Back
Top Bottom