Natafuta mume aliye na hofu ya Mungu

Natafuta mume aliye na hofu ya Mungu

Im a female looking for a serious relationship age 35 above must be Christian ,kabila lolote awe ameajiriwa au amejiajiri...mimi ni muajiriwa serikalini niko Dar.
Una watoto wangapi mie nina watatu?
 
"Hofu ya Mungu" tafsiri yake ni Pana sana, huwezi kumpata Mwanaume wa hivyo
 
Im a female looking for a serious relationship age 35 above must be Christian, kabila lolote awe ameajiriwa au amejiajiri.

Mimi ni muajiriwa Serikalini niko Dar.
Ninahofu ya Mungu nahitaji serious relationship ,Lakini na fail kwenye kigezo Cha dini,Mungu akutangulie kwenye utafutaji wako
 
Dah utapata kweli? Wanaume wenzangu wote sahivi siyo waaminifu niliebaki natabia nzuri ni mimi tu mtaani kwetu wamama wanwaombea watoto wao wakikua wawe na tabia nzuri kama yangu ila bado huwa wanaharibika
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dah utapata kweli? Wanaume wenzangu wote sahivi siyo waaminifu niliebaki natabia nzuri ni mimi tu mtaani kwetu wamama wanwaombea watoto wao wakikua wawe na tabia nzuri kama yangu ila bado huwa wanaharibika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom