Natafuta Mume aliye serious anayetaka mke. Nina miaka 36

Kumbe wanawake na nyinyi mnatafuta nilijua mnatafutwa
 
Miaka 36 masharti kibao, Mnapenda wenye vipato vizuri

Wewe ni mzuri??

Wewe unacho hicho kipato kizuri??

Maana utampata wa kufanana na wewe
Wakiwa bado wadogo na wana machaguo mengi wanajibinua midomo, mwisho wa siku wanapewa mimba wanatelekezwa, alafu at 36, 4 years prior to Menopause ndo wanamiss ndoa, jau sana😂😂
 
Mmmh wana kauli mbiu yao kuhusu Single mothers. Nakushauri usitafute mpenzi, walau hata mchumba mitandao ya kijamii. Kuwa makini sana. Nimemaliza
 
All roads leads to the same end. Sisi sio wageni hapa, miaka 67 saivi mdogo wangu, tushaona mengi. Story za single mothers zote zina kitu kinachofanana, matumizi mabaya ya nafasi zao kwenye kuchagua.
Aisee!Kama umepunguza miaka badala ya kuwa 76 unakosea sana.Mtu mzima mwenye watoto wa kike na kiume pengine,hawezi kuchangia hoja ki-teeneger namna hiyo.Are you that perfect,amigos?
 
Hizi mada z kutafuta wenzi hazikupiti mbali!
 
Nani alikuambia nataka kuolewa mke wa pili? Mtafutie ustadhati umpelekee sawa wewe keeee.....

Unataka mabaki ya mwili wake ee!

Ikishakuvutia? Nyambafuuu
Sweetheart,
Ni kweli humu ndani kuna makwazo lakini kwa namna hii kweli..!? Mwanaume mwenye nia akiona kauli kama hizi tayari kwake ni turn-off..!!

Hao wanaokufanyia kejeli ungeachana nao tu kisha wewe ujitahidi ku focus na jambo lako naamini utafanikiwa..!

Halafu wenye nia kweli watakuja PM siyo hawa wanaojisemesha hapa kwenye comments my dear..!!
 
Okay dear [emoji16][emoji16] nimejitahidi kuwa kimya but wanakera sanaa jamanii. Mizahaa mingi sana mpaka inakera.
 
Kweli kabisa, kanitia shaka ana majibu yenye ukakasi kidogo kanifanya niaone anatania tu hayupo serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…