Natafuta mume anayeishi na VVU

Natafuta mume anayeishi na VVU

Mmi Ni msichana miaka 26 naishi Na vvu ukiniona uwezi kujua mpka nikwambie, natafuta mwanaume mwenye Hali Kama yangu Tuoane miaka27 mpka32 awe na kipato cha kuhudumia familia, awe anajipenda na kukubaliana na hali yake.tafadhali hii ni kwa muhusika dharau na kejeli siitaji.

Hebu njoo pm tuyajenge pamoja nakwamba kwenye vigezo nimezidi miaka miwili
 
Hapa watu wa afya huwa wanapita Kwa heshima Sana.
Hakuna kejeli wala utani.

Dada, Mungu akupe hitaji LA moyo wako. Wako wengi tu walio kama wewe, nina experience ya hili.
Ukikosa hapa, nenda ctc clinics za hospitali, ongea na mtu wa ushauri madawa huwa wanaangalia namna nzuri ya kuunganisha hizi couple.
 
Bora umejiweka wzi ili kwa atayekuwa yuko tayari basi ajiunge
pamoja nawe mufanye familia iliyo bora
nakutakia kila la kheri kupata mwenza wako.

Mimi ni msichana miaka 26 naishi na VVU ukiniona huwezi kujua mpaka nikwambie, natafuta mwanaume mwenye hali kama yangu tuoane miaka27 mpka32 awe na kipato cha kuhudumia familia, awe anajipenda na kukubaliana na hali yake.

Tafadhali hii ni kwa muhusika dharau na kejeli sihitaji.
 
Dah Hadi Nimetokwa machozi Kwa huu Uzi Allah akujalie afya amani

Na atakae kujali na kujenga familiar yenye amani Namaisha marefu

Sisi sote hatujui kesho yetu
 
0762744505. Japo mtanikebehi na kunitukana. Huyo bwana anatibu AIDS bure. Kaanza hii kazi hana zaidi ya wiki. Dada, mtafte amin utapona nimethibitisha kwa jamaa angu wa karibu alie tibiwa. Amekaa na ugonjwa huo 10 years kapona baada ya tiba. Si utani ni true story.
 
Mimi ni msichana miaka 26 naishi na VVU ukiniona huwezi kujua mpaka nikwambie, natafuta mwanaume mwenye hali kama yangu tuoane miaka27 mpka32 awe na kipato cha kuhudumia familia, awe anajipenda na kukubaliana na hali yake.

Tafadhali hii ni kwa muhusika dharau na kejeli sihitaji.
Kwani aliyekwambukiza alishakufa???
 
Mimi ni msichana miaka 26 naishi na VVU ukiniona huwezi kujua mpaka nikwambie, natafuta mwanaume mwenye hali kama yangu tuoane miaka27 mpka32 awe na kipato cha kuhudumia familia, awe anajipenda na kukubaliana na hali yake.

Tafadhali hii ni kwa muhusika dharau na kejeli sihitaji.
Pole sana dada ake, MUNGU akusimamie katika hili maana umeamua kuwa wazi na kuishi uhalisia.
 
Back
Top Bottom