Natafuta mume anayeishi na VVU

Hakuna vigezo vingine kama urefu,kuimba kwaya n.k?
 
Madame kuwa + sio issue!
Watu wanaishi mmoja + Na mwingine - Na maisha yanasonga!
Dunia hii ya Leo yote yanawezekana
Naelewa sana ilo kaka.. lkn kwa upande wangu hapana, nataka mwenye hali kama yangu, wapo negative hata nikiwaambia mimi nipo hivi wanakubali tu ila mimi moyoni hapana... naogopa dhambi ya kujua hali yangu hlf nikamfanya mwingine akawa kama mimi bila hatia sababu ya mapenzi.
 
si rahisi kama unavyoweza fikiri... naona uko too much selective kwa appearance ya nje bila kujua hiyo ndoa unayoiitaji inaangalia zaidi utu na upendo, n i guess unayemuitaji umemuumba tayar in yo brain..... kila la heri atafutae achoki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…