Natafuta mume anayeishi na VVU

Natafuta mume anayeishi na VVU

Habari! "

Rejea Bandiko langu la awali,
bado sijapata nilieridhika nae ingawaje ni wengi wamejitokeza, sijakata tamaa.. nabandika tena bandiko ili nikimaanisha.

Natafuta Mme anaeishi na vvu...
Umri kuanzia miaka 26-38
Awe anaishi Dar, Arusha au mikoa ya karibu.
Mweupe au maji ya kunde.
Alieajiriwa au kujiajiri.
Mkristo
Ambae yupo tayari kwa maisha ya familia sasa kama mke na mme.

Mengine yote soma kwenye uzi wangu uliopita.

Asanteni.
Hakuna vigezo vingine kama urefu,kuimba kwaya n.k?
 
Madame kuwa + sio issue!
Watu wanaishi mmoja + Na mwingine - Na maisha yanasonga!
Dunia hii ya Leo yote yanawezekana
Naelewa sana ilo kaka.. lkn kwa upande wangu hapana, nataka mwenye hali kama yangu, wapo negative hata nikiwaambia mimi nipo hivi wanakubali tu ila mimi moyoni hapana... naogopa dhambi ya kujua hali yangu hlf nikamfanya mwingine akawa kama mimi bila hatia sababu ya mapenzi.
 
Habari! "

Rejea Bandiko langu la awali,
bado sijapata nilieridhika nae ingawaje ni wengi wamejitokeza, sijakata tamaa.. nabandika tena bandiko ili nikimaanisha.

Natafuta Mme anaeishi na vvu...
Umri kuanzia miaka 26-38
Awe anaishi Dar, Arusha au mikoa ya karibu.
Mweupe au maji ya kunde.
Alieajiriwa au kujiajiri.
Mkristo
Ambae yupo tayari kwa maisha ya familia sasa kama mke na mme.

Mengine yote soma kwenye uzi wangu uliopita.

Asanteni.
si rahisi kama unavyoweza fikiri... naona uko too much selective kwa appearance ya nje bila kujua hiyo ndoa unayoiitaji inaangalia zaidi utu na upendo, n i guess unayemuitaji umemuumba tayar in yo brain..... kila la heri atafutae achoki
 
Back
Top Bottom