Natafuta mume anayeishi na VVU

Ni Positive lkn kiukweli sijavutiwa na ambao nimewaona... ndo maana nikabandika ten bandiko ili.
Kwa hali yako upendo wa dhati unahitajika kuliko hata hivyo vigezo unavyotoa.
Kuna watu wamewakataa waume zao kwa kujua au kutojua. Utakuta mdada mrembo (hata hajaathirika na UKIMWI) anakutana na kijana mstaarabu na anataka kumuoa lkn utakuta mwanamke hamtaki kisa hana kazi, hajaendana na vigezo vyake kama umbo sura n.k, anamfanyia visa na dharau na mwisho wa siku kijana wa watu anaamua ajiondoke.
Mtoto wa kike anakutana na type ya mwanaume ambaye anamhitaji (Ana vigezo vyote) lkn utakuta jamaa hana mpango ni mtu wa hit and run, kitu kinapigwa na jamaa anakimbia. Binti wa watu anakutana na wanaume tofauti tofaut na mwisho wa siku anaweza kupewa ujauzito au ukimwi. Utakuta mwanamke keshazalishwa mpaka watoto 3 na kila mmoja na baba yake lkn hapo mwanzo alikuwa anachagua mwanaume wa type yake na wengine kujikuta wameshaambukizwa Ukimwi.
-Hapo ndipo huwa najiuliza, mnachobagua ni nini? hapa ni sawa na mtu anaku overtake halafu huko mbele anapata ajali na kavunja miguu yote. Ukimuuliza sbb ya kukimbiza gari kwa mwendo kasi haijui. Pole sana
Huo ukimwi wako ni wa kuzaliwa nao au ni wakuambukizwa kwa njia ya ngono? km uliambukizwa kwa njia ya ngono na type yako bado haujaipata pole sana.
 

Amina Amina, Mungu akuzidishie huo moyo mzuri
 
Reactions: BAK
Wewe unajitambulisho kuwa mkristo lakini hujui taratibu za Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo!? Kamwe huwezi mpata mume unayemtamani. Mume bora kama ilivyo kwa mke Mtu hupewa na BWANA. unamwekea Mungu mpaka tena!? Pole sana mama.
 

I send a prayer your way my love.

May God grant you your heart's desire, good health and prosperity.

You are an amazing woman.
 
Kuna main types za hiv na subtypes zake, si kila mwenye hiv ana hiv sawa na yako, huenda ukawa umetafuta janga zaid mwisho wa siku mkaambukizana subtypes tofauti na yako ukawa na double infection, ambayo hu worsen condition ya mgonjwa zaidi. Ni rahis sana kwa mwanamke mwenye hiv akaishi na mwanaume asie na hiv na asiambukizwe na kuzaa watoto hiv free, cha msingi ni kumpata mwelewa njooni hospital tutawafundisha kitaalam inaotwa dicordant couple, na ziko nyingi sana tanzania. Hata za mwanaume hiv+ mwanamke hiv -ve na watoto hiv -ve zipo pia.
 
Kama ni kweli utapata, pole na lazima maisha yaende, zingatia tu ya Daktari, waweza ishi hata miaka 20-30...
 
Kuwa HIV+ hakumzuii mtu kuwa na vigezo vya mwenza anayemuhitaji. Haimaanishi ukiugua basi uridhike na yeyote yule hata kama hujamridhia. Kuumwa ni kitu kingine na kumpata uliyemridhia ni jambo jengi (tena pretend kama hakuna vitu vile[emoji1] ). Pambana mungu atakutimizia hitaji la moyo wako.
 
Naona wengi wanajipa moyo HIV is something else guys.....tusichezee maishaa kabisaaa tuwe waaminifu na wapole......tuache kuchepuka kabisaaa maisha ya sasa yamebadilika
 
All da best mkuu, mungu atakusaidia ubarkiwe pia kwa kuwa muwazi.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji276] [emoji276] [emoji276] daah UKIMWI kuisha ni nadra sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…