Natafuta mume anayeishi na VVU

Natafuta mume anayeishi na VVU

Naelewa sana ilo kaka.. lkn kwa upande wangu hapana, nataka mwenye hali kama yangu, wapo negative hata nikiwaambia mimi nipo hivi wanakubali tu ila mimi moyoni hapana... naogopa dhambi ya kujua hali yangu hlf nikamfanya mwingine akawa kama mimi bila hatia sababu ya mapenzi.
Kama ni kweli hongera sana,ni watu wachache sana wana moyo kama wako.Mungu atakupa heri.
 
Back
Top Bottom