Natafuta mume anayeishi na VVU

Natafuta mume anayeishi na VVU

. zenu Mimi ni mwanamke miaka 27 nipo Dar naishi namaambukizi nya vvu natafuta mume wa kunioa mwenye hali kama Yangu miaka29 mpka34 awe na afya nzuri awe amejikubali awe mkristo awe tayali kuanzisha kwa anayehusika tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Suala sio kua na VVU hilo ni kawaida sana kuliko kua na salatani pressure au kisukali eleza una ajira gani? Una mtoto? x wako iko wapi? mimi sio lazma niwe na hali yako ili nije kukuoa, mimi niki tayari ni tufafanulie zaidi katika hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hutaki Kama Mimi ambaye siwezi kupata VVU. Yaani Sina HIV Receptors!
 
Suala sio kua na VVU hilo ni kawaida sana kuliko kua na salatani pressure au kisukali eleza una ajira gani? Una mtoto? x wako iko wapi? mimi sio lazma niwe na hali yako ili nije kukuoa, mimi niki tayari ni tufafanulie zaidi katika hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante ila naitaji mwenye khali kama Yangu yote atayajua tukishawasiliana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Were lazima unakuwa na kisu sio bure. Pesa lazima zungumza, sauti yako ni ya hela.

Lakini jamaa kasema vzr, pressure, kisukali, saratani ndio hatar zaidi..

Nakuombea, mm nadhani usiji discriminate. Wewe cd4 zimeshuka tu, sema upate mwenza ambaye cd4 zake, zipo chini.

Dunia ilivyo sasa. Wengi wanaumwa, hawasemi.
 
Acha unyanyapaji Dada angu wote tupe nafasi muhimu nimaelewano mbona tunaishi na Ndugu zetu wengi wenye hali kama hiyo, najua mahitaji muhimu wahiyo hali plz tupe nafasi

Sent using Jamii Forums mobile app
akikupa nafasi utaenda kweli? huyu dada yupo sereous nyie mnaleta mzaa akikupa iyo nafasi utaenda ww kweli au unaongea tu

wapo wadada wanakuja hapa kutafuta mchumba na hawana maambukizi mnawakejeri ndio iwe kwa huyu plz punguzen utani
kwako dada mungu akupe hitaji la moyo wako asante

Mkuu "Don't judge the book out of its cover" kama wewe huwezi mimi naweza I have my secrete behind that.....hamna mwana mke faithful na obedient kama huyu mwenye hali hiyo kashajitambua huyu hawezi kufanya ujinga tena tutaishi more than 30yrs to come.....wote niwatalajiwa tu kwahiyo nothing to fear.....am serious

Sent using Jamii Forums mobile app
 
akikupa nafasi utaenda kweli? huyu dada yupo sereous nyie mnaleta mzaa akikupa iyo nafasi utaenda ww kweli au unaongea tu

wapo wadada wanakuja hapa kutafuta mchumba na hawana maambukizi mnawakejeri ndio iwe kwa huyu plz punguzen utani
kwako dada mungu akupe hitaji la moyo wako asante

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante Ndgu Watu wahivyo wala awaniumizi kichwa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umekata tamaa sana, kwanini unataka mwenye VVU? wapo wanaume ambao wanaweza kuishi na wanawake wenye hali hiyo lakini wao hawana, inawezekana my dear usikate tamaa
Mamy hata sijakata tamaa najiamin kulko neno lenyewe .nilichotaka n mwenye hali kama yngu wa aina unayoisema sijaitaka tuu mwenyewe .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom