Old story
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 2,264
- 2,152
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 ila viwe viatu vya samaki😀😀😀😀 Itabidi nikutafutie vya kubadilisha sasa.
😂😂 uwiiaaah wapi😀😀😀.Wewe ngoja kuna siku utang'atwa na bata akidhani ni samaki.
Nakumbuka rafiki yangu alipima siku mbili kabla ya ndoa. Ikagundulika bibi harusi mtarajiwa alikuwa Positive wakati rafiki yangu ni negative. Mimi nilikuwa ni Best Man, jamaa hakunieleza kabisa. Wakafunga ndoa. Baada ya miezi 6 bibi harusi alipata mkanda wa jeshi tumboni na mimba ikatoka. Kuuliza kulikoni, nikapata hiyo story na kuwa walielezwa kuwa wawe wanatumia condom, ila rafiki yangu uzalendo ulimshinda akapiga kavu kavu ndo bibie kupata mimba. Mungu mkubwa walipopima tena akawa ni negative, nikamkataza asiende peku, wakaanza condom.Mkuu "Don't judge the book out of its cover" kama wewe huwezi mimi naweza I have my secrete behind that.....hamna mwana mke faithful na obedient kama huyu mwenye hali hiyo kashajitambua huyu hawezi kufanya ujinga tena tutaishi more than 30yrs to come.....wote niwatalajiwa tu kwahiyo nothing to fear.....am serious
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu 'Life is full of try and error by never fail to try'......uenda ntapatiaNakumbuka rafiki yangu alipima siku mbili kabla ya ndoa. Ikagundulika bibi harusi mtarajiwa alikuwa Positive wakati rafiki yangu ni negative. Mimi nilikuwa ni Best Man, jamaa hakunieleza kabisa. Wakafunga ndoa. Baada ya miezi 6 bibi harusi alipata mkanda wa jeshi tumboni na mimba ikatoka. Kuuliza kulikoni, nikapata hiyo story na kuwa walielezwa kuwa wawe wanatumia condom, ila rafiki yangu uzalendo ulimshinda akapiga kavu kavu ndo bibie kupata mimba. Mungu mkubwa walipopima tena akawa ni negative, nikamkataza asiende peku, wakaanza condom.
Bibie alikuwa ameokoka na Pastor wao akawaeleza kuwa mtu kama umeokoka hutakiwi kutumia condom. Bibie akagangamala kuwa hawezi kukiuka neno la mungu na kuchukua condom zote akazitupa shimoni. Rafiki yangu akakataa kuwa hawezi kujiweka katika mdomo wa mamba, hali ikawa mbaya kiasi ikabidi watengane.
Ninavyoandika ni kuwa bibie alishazikwa miaka kadhaa na jamaa yangu alioa mwanamke mwingine na wana watoto wakubwa.
Ujumbe: acha kujidanganya kuwa kwa vile mwanamke au mwanaume ana tatizo basi mkioana maisha yatakuwa kama unavyotegemea
Sasa mkisha duu si tayari amekuwa kama wewe!Asante ila naitaji mwenye khali kama Yangu yote atayajua tukishawasiliana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasio kama siwezi kama ulivyoandika ila sijataka .Sasa mkisha duu si tayari amekuwa kama wewe!