Natafuta mume, awe HIV+

Natafuta mume, awe HIV+

Naomba reason chief
Unahitaji reason kwa namna gani, hii mada ilishaongelewa humu ndani miaka mingi iliyopita.

Ikiwa unahitaji reason why mtu anaetumia ARV akaacha ghafla hufariki hii ni kwa sababu ARV ni sumu na ina addiction kama vile addiction anayoipata mvuta Unga ukiacha ghafla lazima utoweke uende kuzimu, huku watu wakiaamini kuwa HIV ndio imekuuwa..

Ukiacha side effects za ARV ambazo ni nyingi sana.

Kuna uzi humu jamii forum umeelezea A to Z Kuhusu huyu HIV feki kama tunavyoaminishwa na evidence kamili.
 
Utaishukuru ARV japo kidogo..kutuwezesha sisi kupata watoto wasio na maambukizi nayo Ni huge...
 
Safi sana umekuwa muwazi na Mungu akusaidie upate mwenye kigezo chako... Kuna wengine humu hicho kigezo hawakitaji ukijichanganya inakuwa kama suprise tu
 
Hivi bado mmeshikiliwa akili mnaamini kuwa ukimwi upo??
Na mnameza hayo mashudu amkeni waafica HIV is a hoax, kumeza mashudu kunawapeleka makaburini mapema sana.

Mjadala kuhusu HIV ulishaongelewa kitambo humu na hakuna hata daktari mmoja alieleta scientific evidence hata moja bali imebakia imani tu na kurithishana uongo tuliomezeshwa na mabeberu kupitia mainstream, amkeni😎
Utayakanyaga siku alafu utakuja kuutafuta huu uzi
 
Mimi ni mwanamke, miaka 32, watoto wawili.

Baba wa watoto tumeachana muda kidogo, sijakata tamaa wala, nayapenda Maisha kweeli. Nimeajiriwa.

Natamani nipate mwanaune ambae ni HIV Positive kama mimi ili tutengeneze familia, upweke unachosha.

Karibu PM.
NJOO DM NIKUPE MCHONGO
 
Unaonekana mstaarabu sana la mama ishi sana.
daah wwe jamaa itakuwa haujui viburi vya wanawake hasa wakiwa kwene peak tym zao ile chuchu saa 6.

wanatalk shit hawa yani mwanamme hauna rangi utaacha kuiona.

sasa wakikwama km hivi + jua ndo limeshaenda ndo wanakuja kimkakati kama ivi kusaka mawindo mapya kiupole kama ivo.
 
How old are you?
 
Mimi ni mwanamke, miaka 32, watoto wawili.

Baba wa watoto tumeachana muda kidogo, sijakata tamaa wala, nayapenda Maisha kweeli. Nimeajiriwa.

Natamani nipate mwanaune ambae ni HIV Positive kama mimi ili tutengeneze familia, upweke unachosha.

Karibu PM.
Mungu akusaidie, kumbuka pia kuwa umkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, kuna maisha hapa duniani ila kuna maisha pia huko, where are you going to spend your eternity? Okoka ili maisha yako ya hapa duniani yawe na uhakika na ya mbinguni pia ukaende uzima wa milele kuliko kuishi vyovyote hapa na ukifa au siku ya mwisho ukaenda moto wa milele. Ubarikiwe.
 
Back
Top Bottom