Natafuta mume, awe HIV+

Natafuta mume, awe HIV+

Lakini nasikia kuwa HIV inatofautiana kati ya mtu na mtu; unaweza kujikuta katika hali mbaya zaidi ukiongezewa maambukizi. Nakushauri ubaki kama ulivyo; upweke siyo mzigo.
We black listed wewe[emoji3]unajua raha ya kupendwa kweli?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kila la kheri na Mungu akutangulie katika haja ya moyo wako.

Siku nitakayopata ujasiri wa kupima labda ndio siku nitakapokuwa nimeshakupoteza....

Mimi kupima labda nishikiwe mtutu wa bunduki huku nikibebwa na greda la Manispaa ya Kinondoni.....
Mjinga kweli wew [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
A positive mwenye employment au yeyote tu?, maana nyie wanawake hamtabiliki...
 
Mimi ni mwanamke, miaka 32, watoto wawili.

Baba wa watoto tumeachana muda kidogo, sijakata tamaa wala, nayapenda Maisha kweeli. Nimeajiriwa.

Natamani nipate mwanaune ambae ni HIV Positive kama mimi ili tutengeneze familia, upweke unachosha.

Karibu PM.
mzabzab
 
Kila la kheri na Mungu akutangulie katika haja ya moyo wako.

Siku nitakayopata ujasiri wa kupima labda ndio siku nitakapokuwa nimeshakupoteza....

Mimi kupima labda nishikiwe mtutu wa bunduki huku nikibebwa na greda la Manispaa ya Kinondoni.....
Hivi we Babu kwanini hukui lakini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Allah akutilie wepesi na upate Zaidi ya hitaji lako Dada.
 
Back
Top Bottom