Natafuta mume, awe HIV+

Natafuta mume, awe HIV+

Mapema[emoji4] mpende mke wako...kusalitiwa kunauma kweeeli...
Inategemea na aina ya usaliti na sababu ya usaliti, lakini binafsi sijawahi ona sababu ya maumivu ya usaliti zaidi ya ubinafsi tu.
Asante lakini, natamani ningeongea mengi kwenye hili ila sio sehemu sahihi, I wish ni ku pm!
 
Haya njoo pm useme ya moyoni[emoji4] naweza saidia mahali[emoji4][emoji4]
 
Mimi ni mwanamke, miaka 32, watoto wawili.

Baba wa watoto tumeachana muda kidogo, sijakata tamaa wala, nayapenda Maisha kweeli. Nimeajiriwa.

Natamani nipate mwanaune ambae ni HIV Positive kama mimi ili tutengeneze familia, upweke unachosha.

Karibu PM.
Nipo hapa. Sina pesa sina nguvu za kiume sina mwonekano.
 
Back
Top Bottom