Natafuta mume, awe HIV+

Natafuta mume, awe HIV+

@Intelligent businessman my dear, bado Yesu ananipigania[emoji4][emoji4] nikikumbukwa na mkaka mzuri kama wewe Basi maisha ndo yanazid kuwa super [emoji1][emoji1] nawe waendeleaje rafiki angu?
Safi, ni vizuri kusimamia katika imani rafiki.
Mie Niko poa mpendwa, hope mna endelea Poa na familia!!.

Hahaha mi nta kukumbuka, Mpaka uchoke🤓
 
Naishi na mjane ambaye alitelekezwa na ndugu za mumewe. Anaishi kwa matumaini na anajielewa sana. Mke na watoto wangu wameikubali hali yake na amekuwa kama sehemu ya familia sasa....

Kwahiyo naongelea uzoefu mamii... Tumemchukua huyu mama akiwa client wa mke wangu... Hivi sasa kapendeza midume inajipendekeza balaa.... Uzuri mama wa watu hajitakii dhambi mpya...Angeshawapanga wengi tu angetaka..

Ila Mungu yu mwema daima
Ukishaanza kutumia dawa vizr huwezi ambukiza rafiki, lakini hongera sana. Mm nina ndg yangu yupo hivyo na full burudani na kuishi mtu wa hivyo sio kupata maambukizi, sasa imagine ni wangapi tunaishi nao na hatujui hali zao? Na hakuna aliyeambukizwa? So, ukimwi hauambukizi kwa macho au kushare vitu isipokuwa kwa ngono tuu au kutumia vitu vya ncha kali kama sindano na wakati mwingine ajali ambayo itamsababisha mtu jeraha na kugudana na damu ya mtu mwenye VVU
 
Mimi ni mwanamke, miaka 32, watoto wawili.

Baba wa watoto tumeachana muda kidogo, sijakata tamaa wala, nayapenda Maisha kweeli. Nimeajiriwa.

Natamani nipate mwanaune ambae ni HIV Positive kama mimi ili tutengeneze familia, upweke unachosha.

Karibu PM.
Picha yako tafadhali
 
Back
Top Bottom