Natafuta mume, awe HIV+

Natafuta mume, awe HIV+

Mimi ni mwanamke, miaka 32, watoto wawili.

Baba wa watoto tumeachana muda kidogo, sijakata tamaa wala, nayapenda Maisha kweeli. Nimeajiriwa.

Natamani nipate mwanaune ambae ni HIV Positive kama mimi ili tutengeneze familia, upweke unachosha.

Karibu PM.
Alooo hiyo HIV ulizaliwa nayo au uliambukizwa? Na uliambukizwaje
 
Back
Top Bottom