Tatizo mleta uzi ametumia ID mpya, ukiangalia kajoin jana.
kuna thread kama hii mtu alianzisha tena alisema yeye ni mdada, watu wakampa pole zoteeeeee kisha baada ya muda akaja na thread MKE WANGU MJAMZITO ANANINYIMA UNYUMBA, wakati mwingine watu wapo kwaajili ya kuenjoy watu.
Samahani utakayekwazika.
Guys, we must stop this game of teasing people when they bring threads.
For whatever reason, I have on a number of occasions started threads za kipuuzi but it doesn't rule out the fact that many people start threads worth giving a second thought including but not limited to this one.
You feel the tone, the seriousness and the approach of the author and you come to realize the weight behind the post. I therefore ask you who do not meet the criteria of the author and are not ready to give a word of encouragement to desist from commenting on such threads coz you tamper with others emotions which to me is really bad than keeping quite and assuming you didn't see the thread.
This lady is focused, clear on what she want why tease her?
Angekua serious angeanzia ctc yake na kuongea na waratibu wa hiv/aids
I am a Tanzanian girl young age and HIV positive, Pure Christian. Natafuta mwanaume HIV+ ambaye nitaishi nae kama mchumba wangu na baadaye tutafata taaratibu za ndoa. Naishi na wazazi Kigamboni jijini Dar es Salaam. Kwa sasa namalizia masomo yangu katika chuo kimoja maarufu jijini Dar es Salaam. Nahitaji mwanaume anayejielewa future oriented na mwenye msimamo, anayekubali kushauriwa.
Ambaye yuko ready just PM me.
To God Be the Glory.
That's why I have said it in my comment, kuna baadhi ukisoma utaelewa tu kwamba yuko serious kiasi gani au vipi.
Kuhusu kujiunga kwake jana na kutoa post leo naweza kuichukua kama yuko kwenye hali ya kutafuta inawezekana mtu amemtonya kwamba akijaribu huku anaweza kumpata wa kumchukua kama alivyo bila kujali hali hiyo.
Binafsi nampongeza na ninaheshimu maamuzi yake ya kijasiri. Kama anadanganya ni ishu nyingine but for this, I should give credit
Sikukuquote wewe sababu naheshimu mawazo ya kila mtu, nilichoongea mimi ni mawazo yangu.
Hii ni tabia ya member wengi kutaka kujua ishu za watu tu, hahahahahahaha!!!!!!! nishasemaaa
Wacha wajichanganje tu.