I am a Tanzanian girl young age and HIV positive, Pure Christian. Natafuta mwanaume HIV+ ambaye nitaishi nae kama mchumba wangu na baadaye tutafata taaratibu za ndoa.
Naishi na wazazi Kigamboni jijini Dar es Salaam. Kwa sasa namalizia masomo yangu katika chuo kimoja maarufu jijini Dar es Salaam. Nahitaji mwanaume anayejielewa future oriented na mwenye msimamo, anayekubali kushauriwa.
Ambaye yuko ready just PM me
To God Be the Glory