Natafuta mume awe muislam na anayetokea Tanga

Wengi tu wako kama wewe. Mara muslamu mara wa Tanga too much conditions.Je wewe una sifa gani? Uko je? Unavutia au bado?
 
Tangu mwezi wa 7 unaiboost mwezi wa 10? Hapo katikati ulikuwa bado unatafuta?
 
Njoo nikupe wa kwangu ana miaka 36 ni muislam na anatoka tangaπŸ™‚πŸ™‚

Aiseeee nimecheka sana huyo mumeo inaonekana ni janga la Taifa andiko lako linaonyesha ni jinsi gani mumeo ni tatizo
 
Dada Taslimu,
Tanga ni karibu sana na Zanzibar, kama hujampata Mtanga, je, utamkubali Mzanzibari?
 
Natafuta mume muislam anayetokea Tanga, miaka 35_45, mimi ni mwajiriwa.

lakini ujiandae uke wenza sisi huwa hatuoi ila mitala pangani nnamoja,makorola nnamoja,bonde nnamoja sambaani napo nnamoja simwajua mapenzi yamezaliwa huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…