Natafuta mume awe muislam na anayetokea Tanga

Natafuta mume awe muislam na anayetokea Tanga

Mimi ni mwenyeji wa Tanga, kabila Msambaa! Nina vigezo vyote unavyovitaka, isipokuwa tu mimi ni Mkatoliki kindakindaki! Na ninahudumu kama mwalimu wa dini, yaani Katekista! Je, naruhusiwa kutuma maombi?
 
Back
Top Bottom