Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Kuna mtu hapo kaomba ubalozi, ukimsoma katikati ya maandishi yake utagundua ni BAHARIAWrite your reply...MABAHARIA HAPA WANAPITA KASI
Uko kama mm, nikitaka kuingia kwenye mahusiano siangalii cha +ve au -ve japo mimi ni -ve na nimethibitisha kwa vipimo. Toka nitoke gizani kuhusu huu ugonjwa nina amani iliyoje cha kuogopa ni korona na magonjwa mengine yanayochunguzika lakini si huu udanganyifuMbona naona wengi wenu mko mnampa pole2.mi naona ni kama sign of stigmatizion kudhani mtu mwenye H.I.V+ ni mgonjwa kuishi na H.I.V sio ugonjwa bali A.I.D.S ndio ugonjwa.kiukweli siko na hicho kigezo cha umri ila nipo single na natamani sana kuwa kwenye mahusiano na wanawake mfano wako ili niwe balozi kwa jamii inayonizunguka.
Mkuu tusaidie na sisi wengine tutoke gizaniUko kama mm, nikitaka kuingia kwenye mahusiano siangalii cha +ve au -ve japo mimi ni -ve na nimethibitisha kwa vipimo. Toka nitoke gizani kuhusu huu ugonjwa nina amani iliyoje cha kuogopa ni korona na magonjwa mengine yanayochunguzika lakini si huu udanganyifu
Uko kama mm, nikitaka kuingia kwenye mahusiano siangalii cha +ve au -ve japo mimi ni -ve na nimethibitisha kwa vipimo. Toka nitoke gizani kuhusu huu ugonjwa nina amani iliyoje cha kuogopa ni korona na magonjwa mengine yanayochunguzika lakini si huu udanganyifu
Tafuta mada za jamaa mmoja yupo humu anaitwa deception. Soma mada zake mstari kwa mstari. Baada ya hapo fanya uchunguzi wa kile ulichokisoma mwenyewe. Naamini Ukimwelewa utakuwa umezaliwa upya.
Ii888iiiiiiiiiioiiiikjjjktjl5((Mungu atakusaidia na utapata mwenza iwe ndani au nje ya Jf. Stay strong mama
Uko kama mm, nikitaka kuingia kwenye mahusiano siangalii cha +ve au -ve japo mimi ni -ve na nimethibitisha kwa vipimo. Toka nitoke gizani kuhusu huu ugonjwa nina amani iliyoje cha kuogopa ni korona na magonjwa mengine yanayochunguzika lakini si huu udanganyifu
Unataka jibu gani hapoKwahiyo h.i.v ni udanganyifu mkuu?
Sent using Samsung A50
Unataka jibu gani hapo
Rejea nilichokiquote kwa RicochetNataka nami unitoe gizani. Nataka kujua yaliyojificha mkuu.
Sent using Samsung A50
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja na Mwajiriwa wa Serikali. Natafuta mume mwenye status kama yangu. Kama yupo tayari anitext PM kwa maelewano na maelezo zaidi. Umri 40 na kuendelea.
Tupe mrejesho muuMimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja na Mwajiriwa wa Serikali. Natafuta mume mwenye status kama yangu. Kama yupo tayari anitext PM kwa maelewano na maelezo zaidi. Umri 40 na kuendelea.
Soon nitakupa mrejesho tatizo watu wanaleta utani hata kwenye vitu seriousTupe mrejesho muu
Kama bado nipm tuyamalize