Natafuta mume HIV+

Natafuta mume HIV+

Mbona naona wengi wenu mko mnampa pole2.mi naona ni kama sign of stigmatizion kudhani mtu mwenye H.I.V+ ni mgonjwa kuishi na H.I.V sio ugonjwa bali A.I.D.S ndio ugonjwa.kiukweli siko na hicho kigezo cha umri ila nipo single na natamani sana kuwa kwenye mahusiano na wanawake mfano wako ili niwe balozi kwa jamii inayonizunguka.
Uko kama mm, nikitaka kuingia kwenye mahusiano siangalii cha +ve au -ve japo mimi ni -ve na nimethibitisha kwa vipimo. Toka nitoke gizani kuhusu huu ugonjwa nina amani iliyoje cha kuogopa ni korona na magonjwa mengine yanayochunguzika lakini si huu udanganyifu
 
Mkuu tusaidie na sisi wengine tutoke gizani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss hebu tupe madini tujue huo udanganyifu
Uko kama mm, nikitaka kuingia kwenye mahusiano siangalii cha +ve au -ve japo mimi ni -ve na nimethibitisha kwa vipimo. Toka nitoke gizani kuhusu huu ugonjwa nina amani iliyoje cha kuogopa ni korona na magonjwa mengine yanayochunguzika lakini si huu udanganyifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo h.i.v ni udanganyifu mkuu?
Uko kama mm, nikitaka kuingia kwenye mahusiano siangalii cha +ve au -ve japo mimi ni -ve na nimethibitisha kwa vipimo. Toka nitoke gizani kuhusu huu ugonjwa nina amani iliyoje cha kuogopa ni korona na magonjwa mengine yanayochunguzika lakini si huu udanganyifu

Sent using Samsung A50
 
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja na Mwajiriwa wa Serikali. Natafuta mume mwenye status kama yangu. Kama yupo tayari anitext PM kwa maelewano na maelezo zaidi. Umri 40 na kuendelea.

HIV+??!!, Hilo ni sharti gumu sana, nadhani wewe ungesema unahitaji mume tu, lakini you are HIV+, hapo mwanaume yoyote mwenye nia anaweza kujitokeza regardless of your status, don't you know love is blindness ??.
 
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja na Mwajiriwa wa Serikali. Natafuta mume mwenye status kama yangu. Kama yupo tayari anitext PM kwa maelewano na maelezo zaidi. Umri 40 na kuendelea.
Tupe mrejesho muu
Kama bado nipm tuyamalize
 
Back
Top Bottom