Natafuta mume HIV+

Natafuta mume HIV+

Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja na Mwajiriwa wa Serikali. Natafuta mume mwenye status kama yangu. Kama yupo tayari anitext PM kwa maelewano na maelezo zaidi. Umri 40 na kuendelea.
Naamini Mungu akupe Hitaji la moyo wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza hivi wakiwa positive wote wawili wanakwepa vipi maambukizi mapya?

Pole sana dada yetu, una muda mrefu wa kutimiza ndoto yako usife moyo.
 
Ubarikiwe mama nimekupenda vile ulivokuwa muwazi Mungu akupe hitaji la moyo wako
 
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja na Mwajiriwa wa Serikali. Natafuta mume mwenye status kama yangu. Kama yupo tayari anitext PM kwa maelewano na maelezo zaidi. Umri 40 na kuendelea.
Hakika upo serious na unachotafuta. Mungu atafungua njia
 
Pongezi kwa kua muwazi still u have a life to live
 
Nimelipenda bandiko la namna hii ni zuri sana. Nakutakia mema ili umpate wa kufanana nawe. Mara nyingi mtu mkweli anajipa nafasi ya kuwa huru na kujiepusha na matatizo huko mbeleni.
 
Mi sina lakn nakutaka

Sent using Gun Trigger
 
Mbona naona wengi wenu mko mnampa pole2.mi naona ni kama sign of stigmatizion kudhani mtu mwenye H.I.V+ ni mgonjwa kuishi na H.I.V sio ugonjwa bali A.I.D.S ndio ugonjwa.kiukweli siko na hicho kigezo cha umri ila nipo single na natamani sana kuwa kwenye mahusiano na wanawake mfano wako ili niwe balozi kwa jamii inayonizunguka.
 
Back
Top Bottom