MAMA SAMWEL
Member
- Sep 18, 2012
- 55
- 24
post deleted
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi napenda watoto kama nilivyojieleza na pia hutembelea vituo vya watoto yatima just to play with them because so that is where this name started.asante kwa wish yako.so what's behind the name MAMA SAMWEL!??
eniwei, Muombe Mungu atakupa tu mume mwema my dia...
me nimejieleza nilivyo na ndo nilivo am very open so kama umekwazika na kauli yangu basi nisamahesasa makalio nayo ni asset ya kutangaza kutafuta mume siku hizi?
me nimejieleza nilivyo na ndo nilivo am very open so kama umekwazika na kauli yangu basi nisamahe
Kumbe wanaume siku izi ni dili ivi ? duh! Utapata jipe moyo yupo njiani anakuja
Habari jaman,
mimi ni mwanamke mkubwa kiasi na nitafuta rafiki ambae baadae atakuwa mume ili tuweze kuishi pamoja katika dunia hii ambayo kwakweli inahitaji sana kusaidiana.wasifu wangu ni kama ifuatavyo:
1.mimi nampenda Mungu
2.nina heshima na mwenye upendo kwa watu.
3.napenda sana watoto
4.sijawah kuolewa na wala sina mtoto
5.elimu yangu ni masters(ndo naimalizia hivi sasa)
6.nina makalio lakini si makubwa sana.
5.ni mweusi(black beuty-yaan sijawahi tumia mkorogo)
6.pia ni mchapa kazi sana na mwenye kujituma
7.ni mnene kiasi
Mume nimtakae tafadhali sana naomba awe na sifa zifuatazo;
1.awe anampenda Mungu na pia kumtumikia Mungu
2.mwenye upendo wa kweli na mkweli
3.umri kuanzia miaka 35-40
4.elimu yake awe at least na first degree
5.awe anafanya kazi
6.awe tayari kupima HIV
Kwakweli nakaribisha maombi kutoka kwa watu wote please msinikejeli bali mnipatie ushauri maana ninyi ni wenyeji humu jamvini.asanteni sana.
aha ha ha ha ha!!! kama usiogope competitions lazima ujiamini mwana na pia mchaguzi awe na wide range of selection.kwa sifa zako zote,hii ndio imenivuta zaidi......atleast,ni PM kwa mawasiliano,hapa mume umepata tayari Mods pliz fungeni thread hii,sitaki competition zaidi
Hi kwa nini JF Members wengi mnapenda kukejeli wengine katika issue serious?
Hii Love connect sio kituo cha ushauri ni sehemu ya kutafuta marafiki na wapenzi (kama wanapatikana).Ukiwa na ushauri upeleke katika main forum ya mahusioano sio sub forum hii.Na ukiwa una kejeli zako zitafutie forum nyingine.