Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Ni kweli au unatania? unaishi wapi? mbali na kusoma, kazi yako ni nini? wapi (at least location)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari jaman,
mimi ni mwanamke mkubwa kiasi na nitafuta rafiki ambae baadae atakuwa mume ili tuweze kuishi pamoja katika dunia hii ambayo kwakweli inahitaji sana kusaidiana.wasifu wangu ni kama ifuatavyo:
1.mimi nampenda Mungu
2.nina heshima na mwenye upendo kwa watu.
3.napenda sana watoto
4.sijawah kuolewa na wala sina mtoto
5.elimu yangu ni masters(ndo naimalizia hivi sasa)
6.nina makalio lakini si makubwa sana.
5.ni mweusi(black beuty-yaan sijawahi tumia mkorogo)
6.pia ni mchapa kazi sana na mwenye kujituma
7.ni mnene kiasi
Mume nimtakae tafadhali sana naomba awe na sifa zifuatazo;
1.awe anampenda Mungu na pia kumtumikia Mungu
2.mwenye upendo wa kweli na mkweli
3.umri kuanzia miaka 35-40
4.elimu yake awe at least na first degree
5.awe anafanya kazi
6.awe tayari kupima HIV
Kwakweli nakaribisha maombi kutoka kwa watu wote please msinikejeli bali mnipatie ushauri maana ninyi ni wenyeji humu jamvini.asanteni sana.
Mimi nina sifa zote except umri ndio kidoogo umekuwa zaidi yangu, vipi naruhusiwa ku inbox
Ni kweli au unatania? unaishi wapi? mbali na kusoma, kazi yako ni nini? wapi (at least location)
Hatari sana yaani first appearance jf tayari unatafuta bwana, halafu mpaka unafikia kusoma masters hunamtu ambae anaweza kuwa mmeo mpaka leo significantly we utakua unashida kiasi kwamba umekua unakimbiwa na wanaume wote waliotangulia, umejitadescribe kuwa unatabia nzuri bt m worried wats wrong wit yu pamoja na uzuri huo bado tu haujapendeka mpaka kaolewa, may bado haujafunguka zaidi kuhusu weakness zako ungetujuza ingekua poa pia
Kumbe wanaume siku izi ni dili ivi ?
Mama Samweli
Huja andika upo wapi au upo free kwenda mkoa wowote?
Habari jaman,
mimi ni mwanamke mkubwa kiasi na nitafuta rafiki ambae baadae atakuwa mume ili tuweze kuishi pamoja katika dunia hii ambayo kwakweli inahitaji sana kusaidiana.wasifu wangu ni kama ifuatavyo:
1.mimi nampenda Mungu
2.nina heshima na mwenye upendo kwa watu.
3.napenda sana watoto
4.sijawah kuolewa na wala sina mtoto
5.elimu yangu ni masters(ndo naimalizia hivi sasa)
6.nina makalio lakini si makubwa sana.
5.ni mweusi(black beuty-yaan sijawahi tumia mkorogo)
6.pia ni mchapa kazi sana na mwenye kujituma
7.ni mnene kiasi
Mume nimtakae tafadhali sana naomba awe na sifa zifuatazo;
1.awe anampenda Mungu na pia kumtumikia Mungu
2.mwenye upendo wa kweli na mkweli
3.umri kuanzia miaka 35-40
4.elimu yake awe at least na first degree
5.awe anafanya kazi
6.awe tayari kupima HIV
Kwakweli nakaribisha maombi kutoka kwa watu wote please msinikejeli bali mnipatie ushauri maana ninyi ni wenyeji humu jamvini.asanteni sana.
sasa makalio nayo ni asset ya kutangaza kutafuta mume siku hizi?