Natafuta mume jaman

Natafuta mume jaman

Ni kweli au unatania? unaishi wapi? mbali na kusoma, kazi yako ni nini? wapi (at least location)
 
weka picha yako basi. hata mm nina uhitaji huo. Godbless U.
 
Habari jaman,
mimi ni mwanamke mkubwa kiasi na nitafuta rafiki ambae baadae atakuwa mume ili tuweze kuishi pamoja katika dunia hii ambayo kwakweli inahitaji sana kusaidiana.wasifu wangu ni kama ifuatavyo:
1.mimi nampenda Mungu
2.nina heshima na mwenye upendo kwa watu.
3.napenda sana watoto
4.sijawah kuolewa na wala sina mtoto
5.elimu yangu ni masters(ndo naimalizia hivi sasa)
6.nina makalio lakini si makubwa sana.
5.ni mweusi(black beuty-yaan sijawahi tumia mkorogo)
6.pia ni mchapa kazi sana na mwenye kujituma
7.ni mnene kiasi

Mume nimtakae tafadhali sana naomba awe na sifa zifuatazo;
1.awe anampenda Mungu na pia kumtumikia Mungu
2.mwenye upendo wa kweli na mkweli
3.umri kuanzia miaka 35-40
4.elimu yake awe at least na first degree
5.awe anafanya kazi
6.awe tayari kupima HIV

Kwakweli nakaribisha maombi kutoka kwa watu wote please msinikejeli bali mnipatie ushauri maana ninyi ni wenyeji humu jamvini.asanteni sana.

Weka Picha ambayo si Passport size watu wakuone kuji commit bila mtu kukuona ni sawa na kuuziwa mbuzi kwenye gunia. Mbona unajiita mama Samweli ni kwamba una mtoto aitwaye Samweli au?
 
Ni kweli au unatania? unaishi wapi? mbali na kusoma, kazi yako ni nini? wapi (at least location)

sasa hayo ntayaweka hapa ndugu yangu??nafikiri hayo ndo kwenye hizo mnaita pm
 
Asante,mi naomba nitangaze vita rasmi kwa kejeli nitakazoona katika hii sub forum kwa kuwa imepoteza maana kabisa.N mtu asianze kuuliza ooh umejiunga juzi tu,ohooo niko siku nyingi sana humu.
 
Hatari sana yaani first appearance jf tayari unatafuta bwana, halafu mpaka unafikia kusoma masters hunamtu ambae anaweza kuwa mmeo mpaka leo significantly we utakua unashida kiasi kwamba umekua unakimbiwa na wanaume wote waliotangulia, umejitadescribe kuwa unatabia nzuri bt m worried wats wrong wit yu pamoja na uzuri huo bado tu haujapendeka mpaka kaolewa, may bado haujafunguka zaidi kuhusu weakness zako ungetujuza ingekua poa pia

Aaah! amesahau tu kusema hajawahi kutongozwa!! may be alikuwa anatafuta Ready made Man, sie darasa la saba hata kama tuna pendo la kumbi kumbi moyoni mwetu hatuna nafasi!! Jamani kweli maendeleo ati sifa ya kupenda na ndoa ni digrii!!!!

All the best mama SAM!!!
 
Dada umejieleza vizuri nakuombea upate mume mwema wa chaguo lako.
 
Mama Samweli
Huja andika upo wapi au upo free kwenda mkoa wowote?
 
Nimependa ombi lako, ni-PM kwa mengineyo

Back
Top Bottom