Bazazi
JF-Expert Member
- Aug 18, 2008
- 2,806
- 3,485
so what's behind the name MAMA SAMWEL!??
eniwei, Muombe Mungu atakupa tu mume mwema my dia...
Mentor! What's behind the name BAZAZI!
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
so what's behind the name MAMA SAMWEL!??
eniwei, Muombe Mungu atakupa tu mume mwema my dia...
habari jaman,
mimi ni mwanamke mkubwa kiasi na nitafuta rafiki ambae baadae atakuwa mume ili tuweze kuishi pamoja katika dunia hii ambayo kwakweli inahitaji sana kusaidiana.wasifu wangu ni kama ifuatavyo:
1.mimi nampenda mungu
2.nina heshima na mwenye upendo kwa watu.
3.napenda sana watoto
4.sijawah kuolewa na wala sina mtoto
5.elimu yangu ni masters(ndo naimalizia hivi sasa)
6.nina makalio lakini si makubwa sana.
5.ni mweusi(black beuty-yaan sijawahi tumia mkorogo)
6.pia ni mchapa kazi sana na mwenye kujituma
7.ni mnene kiasi
mume nimtakae tafadhali sana naomba awe na sifa zifuatazo;
1.awe anampenda mungu na pia kumtumikia mungu
2.mwenye upendo wa kweli na mkweli
3.umri kuanzia miaka 35-40
4.elimu yake awe at least na first degree
5.awe anafanya kazi
6.awe tayari kupima hiv
kwakweli nakaribisha maombi kutoka kwa watu wote please msinikejeli bali mnipatie ushauri maana ninyi ni wenyeji humu jamvini.asanteni sana.
makalio kumbe unayo....mhmHabari jaman, mimi ni mwanamke mkubwa kiasi na nitafuta rafiki ambae baadae atakuwa mume ili tuweze kuishi pamoja katika dunia hii ambayo kwakweli inahitaji sana kusaidiana.wasifu wangu ni kama ifuatavyo: 1.mimi nampenda Mungu 2.nina heshima na mwenye upendo kwa watu. 3.napenda sana watoto 4.sijawah kuolewa na wala sina mtoto 5.elimu yangu ni masters(ndo naimalizia hivi sasa) 6.nina makalio lakini si makubwa sana. 5.ni mweusi(black beuty-yaan sijawahi tumia mkorogo) 6.pia ni mchapa kazi sana na mwenye kujituma 7.ni mnene kiasi Mume nimtakae tafadhali sana naomba awe na sifa zifuatazo; 1.awe anampenda Mungu na pia kumtumikia Mungu 2.mwenye upendo wa kweli na mkweli 3.umri kuanzia miaka 35-40 4.elimu yake awe at least na first degree 5.awe anafanya kazi 6.awe tayari kupima HIV Kwakweli nakaribisha maombi kutoka kwa watu wote please msinikejeli bali mnipatie ushauri maana ninyi ni wenyeji humu jamvini.asanteni sana.
Habari jaman,
mimi ni mwanamke mkubwa kiasi na nitafuta rafiki ambae baadae atakuwa mume ili tuweze kuishi pamoja katika dunia hii ambayo kwakweli inahitaji sana kusaidiana.wasifu wangu ni kama ifuatavyo:
1.mimi nampenda Mungu
2.nina heshima na mwenye upendo kwa watu.
3.napenda sana watoto
4.sijawah kuolewa na wala sina mtoto
5.elimu yangu ni masters(ndo naimalizia hivi sasa)
6.nina makalio lakini si makubwa sana.
5.ni mweusi(black beuty-yaan sijawahi tumia mkorogo)
6.pia ni mchapa kazi sana na mwenye kujituma
7.ni mnene kiasi
Mume nimtakae tafadhali sana naomba awe na sifa zifuatazo;
1.awe anampenda Mungu na pia kumtumikia Mungu
2.mwenye upendo wa kweli na mkweli
3.umri kuanzia miaka 35-40
4.elimu yake awe at least na first degree
5.awe anafanya kazi
6.awe tayari kupima HIV
Kwakweli nakaribisha maombi kutoka kwa watu wote please msinikejeli bali mnipatie ushauri maana ninyi ni wenyeji humu jamvini.asanteni sana.
Mimi napenda watoto kama nilivyojieleza na pia hutembelea vituo vya watoto yatima just to play with them because so that is where this name started.asante kwa wish yako.
aliyekwambia mume mwema anapatikana jf ni nani?
Mkuu,kwa mfano tu, hivi wewe hauwezi kuwa mume mwema?
Very interesting, I like this kind of woman here. Sisi wengine ni vile tu wazazi wetu walichelewa kupendana bwana ila otherwise ningekutafuta sister, maana tupo wengi sana ambao hatujapata wenza humu. But it's ok wishing you all the best.