King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Mengine inbox
Tumepanda bei naonasiamini kama wanaume tumekua wakutafutwa hivyo
Ukishaona hicho uje kuona na cha kwangundioo
Vijana wakikutongoza tongoza hapo chuo usiwe unawapiga vibuti tu hahaMengine inbox
We jamaa nimeshakuona unataka season za JF ziwe fupi sana wakati wapo watoa stress wengine humu humu ππππππet dada nasikia watu wanalizana humu kwa mada kama yako hivi uko chuo hakuna mume kweli uliyemuona anasifa kama uzitakazo au hakuna kabisa unayempenda chuo kizima au hata katika mtaa unaoishi ? tatizo la wanawake wengi wakimpenda mwanaume wanataka et ndio mwanaume aje akutongoze unakuta mwanaume mwingine ajui kama unampenda masikini binti wa watu mimi naamini chuoni au mtaani uko wapo uwapendao waambie tu ukweli kuliko kuja huku yani uku kuna actors and actress et nimeskia aya nakutakia kila la kheri
Hahahaaa hiyo ndio kazi ya pesa siku hizi ukitongoza lazima uonyeshe bank statement kwanza ya miez 3 iliyopita wakat ukiendelea kufikiriwaTatizo wanafunzi wanasumbua sana... Yani hapa unaweza kuta ukawa mbadala wa matumizi
******** anajua unatafuta mme?
pumbav soma kwanza, mapenz na shule haviendani
Fresh man chana makavu kabisaet dada nasikia watu wanalizana humu kwa mada kama yako hivi uko chuo hakuna mume kweli uliyemuona anasifa kama uzitakazo au hakuna kabisa unayempenda chuo kizima au hata katika mtaa unaoishi ? tatizo la wanawake wengi wakimpenda mwanaume wanataka et ndio mwanaume aje akutongoze unakuta mwanaume mwingine ajui kama unampenda masikini binti wa watu mimi naamini chuoni au mtaani uko wapo uwapendao waambie tu ukweli kuliko kuja huku yani uku kuna actors and actress et nimeskia aya nakutakia kila la kheri
Kuja hapa mumeo niko nimeishafika..Mengine inbox
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mbona umeficha kibamia chako hapo[emoji115] [emoji23]
Hawa ni Mabikra bado. Ndio haswaaa wanafaa kuoa.Sina hamu na hawa viumbe wa chuo.
Hapo wew utaolewa bila kujijua wew subir tyuu unatania vidumembona umeficha kibamia chako hapo[emoji115] [emoji23]