Natafuta mume jamani

Natafuta mume jamani

Status
Not open for further replies.
Jamani Mimi ni msichana Nina miaka 21 natafuta mpenzi ambae anakazi miaka 24_26 awe mrefu kawaida ,mweusi si mweus sana awe anaakili ya kimaisha ili tujenge mahusiano Mimi niko chuo mwaka wa pili mwakani namaliza ko tutachunguzana kwa muda kabla ya ndoa very serious sitaki utani pia kama ni mwanachuo anachukua degree pia haina shida.

Mengine tutaoongea inbox uko aliye serious napatikana dar awe mkristo haswaaa ,,,,,,nimeweka no coz sim yangu inasumbua kuingia PM na kutoa comment jamani am serious nilitaka ni m pm kaka mmoja aliweka Uzi wake Borgan kama kuna mtu anaweza kuchukua no angu akamtupia pm anitafute so mbaya
 
Hapo kwenye kazi kama umeandika kwa msisitizo wa aina yake hivi
 
Bango lako mwabachuo wewe halina tofauti na mtu aliyeishia la saba tena anaweza kukuzidi.
.
.
All the best lakini.
 
Jamani Mimi ni msichana Nina miaka 21 natafuta mpenzi ambae anakazi miaka 24_26 awe mrefu kawaida ,mweusi si mweus sana awe anaakili ya kimaisha ili tujenge mahusiano Mimi niko chuo mwaka wa pili mwakani namaliza ko tutachunguzana kwa muda kabla ya ndoa very serious sitaki utani pia kama ni mwanachuo anachukua degree pia haina shida.

Mengine tutaoongea inbox uko aliye serious
Soma kwanza mdogo angu usikimbilie kubeba kontena wakati bado uwezo wako ni kiberiti.
 
Tukikutanaga face to face mnakaza kweli as if msharidhika na maisha mkija uku mitandaoni ndo vichaka vya kujificha na kueleza shida zenu...sina uakika kama maeneo uliyopo umekosa mwanaume kabisa
 
Write your reply...mhitimu wa chuo mwenzako huko uingereza ambaye ni raia wa kenya KIJIOA mwnyew,

nawe fanya hivyo 😆😆😆
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom