Natafuta mume Mbena au Muhehe

Natafuta mume Mbena au Muhehe

Nakujahuko pm ila nnamiaka25 naenda wa 26[emoji2958]
 
Habari za majukumu wadau. Kama mada inavyojieleza naamini mwanaume anapatikana sehemu yoyote ile. Hitaji langu kubwa ni hilo. Mume wa mtu hapana.
Vipi bado yupo huyo muhehe ? Au umeshamvuruga amejinyonga.
 
Wabena na Wahehe mnahitajika hapa, Mungu akupatie hitaji la moyo wako.
 
Habari za majukumu wadau. Kama mada inavyojieleza naamini mwanaume anapatikana sehemu yoyote ile. Hitaji langu kubwa ni hilo. Mume wa mtu hapana.
Nene ndigaga twibaanye hela, uuse mwigati (inbox)
 
Back
Top Bottom