Natafuta mume mcha Mungu

Natafuta mume mcha Mungu

Wasabato wacha Mungu hata internet hawatumii kabisa jaribu kushiriki kikamilifu huko kanisani kwenu utawapata kama una sifa za kuwapendeza.

BTW:Huo urefu huwa mnapima wapi,nimezoea kuona watu wakipima uzito barabarani huko siyo urefu.
 
Kama kichwa kinavyojieleza natafuta mme mwenye hofu ya Mungu, awe na sifa zifwatazo:
Asiwe mwenye kutumia bangi, sigara au kilevi chochote.
Awe mwenye urefu kwanzia 5.9ft kuendelea
Awe msomi angalau kuanzia Diploma
Awe maji ya kunde au mweusi
Awe na chanzo halali cha kujipatia fedha
Awe na umri kwanzia 27 mpaka 34
Asiwe na mtoto
Asiwe mnene sana au mwembamba sana
Awe mwadventista msabato.
Kabila lolote lile sawa, kikubwa pia awe mwenye upendo wa dhati na awe mpole.

Sifa zangu:
Nina miaka 24, nipo Dar, elimu yangu ni Bachelor Degree, nimeajiriwa Serikalini kwa sasa, mwonekano wangu nina urefu wa 5.5ft mwili wa kawaida, mweupe kwa rangi.

Note
Kama hukidhi vigezo please usije DM
Wasabato mna masharti sana
 
24yrs ur still young kutafuta huku online
Maliza kwanza chuo dogo
 
Kichwa cha habari kina sifa moja, Uzi una sifa 100 ndo maana ni ngumu wewe kufanikiwa kwenye unachohitaji.
 
Njoo jpili kawe kwa Mwamposa wapo wa kushato ushindwe wewe tyu!!
 
Back
Top Bottom