Natafuta mume mcha Mungu

Wasabato wacha Mungu hata internet hawatumii kabisa jaribu kushiriki kikamilifu huko kanisani kwenu utawapata kama una sifa za kuwapendeza.

BTW:Huo urefu huwa mnapima wapi,nimezoea kuona watu wakipima uzito barabarani huko siyo urefu.
 
Wasabato mna masharti sana
 
24yrs ur still young kutafuta huku online
Maliza kwanza chuo dogo
 
Kichwa cha habari kina sifa moja, Uzi una sifa 100 ndo maana ni ngumu wewe kufanikiwa kwenye unachohitaji.
 
Njoo jpili kawe kwa Mwamposa wapo wa kushato ushindwe wewe tyu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…