Natafuta mume miaka 40-65

Natafuta mume miaka 40-65

Ina maana mwenye picha hii ndo kajitokeza leo!! Picha hii inatumika mara nyingi sana kumbe ni ya kwako!!!
 
Unaakili umecheza na umri sahihi hapa lazima maboya wapigwe kila la heri mkuu.
 
Iwe kheri 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
NAMAANISHA KABISA.

Hello, natafuta mume miaka 40-65. Awe anayeweza majukumu ya kutunza na kuhudumia mke, familia.

Nicheki WhatsApp 0656-876 084.

Ukiwa huna umri niliotaja usinitafute..watoto mpishe mbali maana hamjui kutunza na kuhudumia mke, familia.
Sijaona vigezo vyako ulivyoweka personal mfano una umri gan e.t.c.
 
Kama unamaanisha kabisa kupata mme ungejieleza japo kwa kifupi mf.Una umri miaka mingapi? Una watoto? wewe ni Mkristo au dhehebu nk
 
All The Best ila jitahidi ku_update CV yako maana ni NULL haina details zozote zinazokuhusu wewe.
 
NAMAANISHA KABISA.

Hello, natafuta mume miaka 40-65. Awe anayeweza majukumu ya kutunza na kuhudumia mke, familia.

Nicheki WhatsApp 0656-876 084.

Ukiwa huna umri niliotaja usinitafute..watoto mpishe mbali maana hamjui kutunza na kuhudumia mke, familia.
Pambania kombe hao wte wanafamilia so unataka waacha familia zao wakuje kwk young jimmy
 
Back
Top Bottom