Avaya
Member
- Apr 25, 2012
- 44
- 17
Habari za humu ndani wanajamvi,
Mm ni bint mwenye miaka 28 natafuta mwanaume atakaekua mume wangu kama tutafikia muafaka huo.
Sifa zangu
Mkristo nilieokoka nampenda Yesu
Miaka 28 elimu diploma
Naishi Dar es salaam
Kazi bado cjapata ika najishughulisha na biashara ndogondogo
Kabila mchaga kutoka Marangu
Sina mtoto
Sijawahi kuishi na mwanaume
Sifa za mwanaume ninaemtafuta:-
Mkristo mwenye hofu ya Mungu
Umri miaka 30-42
Awe anakazi/biashara
Alie tayari kuwa mume na baba watoto Mungu atakaotubariki hata kama tusipopata (watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu).
Kabila lolote
Mengine tukutane pm
NB: Niko serious na naomba atakaekuja pm awe serious pia ukiona hujafika umri huo usijisumbue kabisa pia uwe mkristo maana nitakuhoji kuhusu hilo. Nawapenda woote. Mungu awabariki.
Sent using Jamii Forums mobile app