Natafuta mume mtu mzima

Natafuta mume mtu mzima

Maria92
Nini unachowaza?
Kwanini unakataa tamaa mapema?
Shida nini mama yangu?
Nimesoma thread yako hakika nimesikitika sana kwa 100%. Jitafakari upya maisha hayako hivyo kama unavyofikiria. Kama thread yako umeandika kama comedy sawa ila kama upo serious. Umepotea mdogo wangu kwa 100%. Umechoka kuumizwa na watoto wadogo kwahiyo ulikuwa unatembea na vijana wa umri 23 kushuka chini? Kiukweli mpaka hapo ulipofikia naona hauko sawa kiakili. Hivyo inabidi utafute mtaalamu wa masula ya psycholojia akushauri.
Usiku mwema
 
Duh! Nikuunganishe kwa baba ang kama upo teyar maana ana umri uo afu hana mke kwasasa ukiwa mamaang mdog itapenda zaid...
 
Wewe sema unatafuta danga. Katika umri huo ni wanaume wachache sana ambao hawana watoto.

Sana sana kwa umri huo utapata waume za watu... wagane na madanga.
Goodluck maria
 
Wewe sema unatafuta danga. Katika umri huo ni wanaume wachache sana ambao hawana watoto.

Sana sana kwa umri huo utapata waume za watu... wagane na madanga.
Goodluck maria
hivi Danga ni nini?
 
Dada, mbona umekata tamaa kiasi hicho? Uko tayari kuitwa mama na kumkiwa na watoto wake ambao unaweza kuwa umri sawa nao?

Vv
 
Aisee
Jiandae ki saikolojia kuwa mjane,kwa maisha ya bongo akuoe saivi ana 50,life exp ni miaka 60 so atakuacha ukiwa 34
 
Kwa kifupi unajidanganya mwenyewe tuuuu and you will pay a price of your foolishness!!....Mark my word please!
 
Ata aleachwa hujui kilichopelekea kuachwa we ndio unamtaka.! Kila la heri
 
Kwa umri huwa mbona bado mdogo sana unakata tamaa mapema hivo. Watu wanaolewa na 35.


Tulia piga kazi zako. Usijiweke kishangingi.

1:Huenda jinsi ujiwekavyo ndo mana wanakuchukulia we ni wa kupita.
2:Huenda unakutana na watu wasio sahihi, wavaa mlegezo (mabitoz). Huku watu makini ukiwapuuza kwa kuwaona kama washamba.
Tulia Yajayo yanafurahisha.
 
Ndio uache kufunua kifuniko Cha asali....on Sasa unataka mizeee
 
Back
Top Bottom