Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
hivi Danga ni nini?Wewe sema unatafuta danga. Katika umri huo ni wanaume wachache sana ambao hawana watoto.
Sana sana kwa umri huo utapata waume za watu... wagane na madanga.
Goodluck maria
Karibu pm mkuu[/QUOT
serengeti boys hatuna nafasi
Nakuombea sana... Usiwalaumu sana vijana bado damu inachemka na hawajajua kwamba ladha ni ileile
Tangu linii??24!!! unataka 50-60 aiseee hongera ila utakipata utakachoo