Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,373
- 6,532
Wewe jamaa noma sana. Hizo huku uswahilini tunaita hesabu ndefu! Ni km zile alizopiga K LEE NI!Upo kistrategy sana binti maana kwa umri huo kama ukimpata umekula bingo utapata malipo yake ya pensheni plus mirathi maana hatakuwa na miaka mingi mbele lazima arudi mavumbini halafu utarudi Kutafuta wa umri wako sasa baada ya kumaliza eda
Kashachungulia mafao huyu shogako! Na hv mifuko imeunganishwa....Kila la heri mama naona unatafuta mstaafu age hiyo lazima upate mume wa mtu
Hujamuelewa! Maria anatafuta Pension na MirathiAisee
Jiandae ki saikolojia kuwa mjane,kwa maisha ya bongo akuoe saivi ana 50,life exp ni miaka 60 so atakuacha ukiwa 34
[emoji23]hapo sawaHujamuelewa! Maria anatafuta Pension na Mirathi
Sasa miaka 50-60 atakuwa anakula papuchi au anaipapasa tu anakaa pembeni
Kumbe anasubiria tu Mzee avute.......[emoji17][emoji20]Wewe jamaa noma sana. Hizo huku uswahilini tunaita hesabu ndefu! Ni km zile alizopiga K LEE NI!
Ah ah ahNimeamini gari bovu huvutwa na zima