Habari wakuu
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24.
Elimu yangu ni chuo kikuu
Natafuta mpenzi ambaye atakuja kuwa mume mwenye umri wa miaka 50-60
Nimechoka kuumizwa na vijana wadogo
Kikubwa awe hana mke (walioachwa, waliofiwa mke au ambaye hajawai kuoa)
Kama una vigezo hapo juu karibu pm