Natafuta mume mtu mzima

Natafuta mume mtu mzima

Vr
Kama bado hujapata hitaji la moyo wako mimi nataka nikucomfort.
Nina miaka 37 nataka ue mke wa pili(mchepuko) nitakupa Haki zote sawa na mke mkubwa. Pm ipo wazi kwa ajili yako. Nakusubiri
Bro kesha sema anataka babu,so ww tulia kwanza
 
Habari wakuu
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24.
Elimu yangu ni chuo kikuu
Natafuta mpenzi ambaye atakuja kuwa mume mwenye umri wa miaka 50-60
Nimechoka kuumizwa na vijana wadogo
Kikubwa awe hana mke (walioachwa, waliofiwa mke au ambaye hajawai kuoa)
Kama una vigezo hapo juu karibu pm


op
Asante naomba unitafute 0755 144 754
 
Back
Top Bottom