Natafuta mume mwema

Natafuta mume mwema

Duh watu wako vizuri kwa kuziba riziki za watu!
 
Musundi, upo ingawa tunaweza tusitake kumuoa huyo dada

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
@Vyeria,Kazi unachapia wapi ?

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Vyeria, Hii sifa ya urefu inanipiga chenga sana


Ila poa "mke mwema anatoka kwa bwana""


13SEPTEMBER
 
Vyeria,
nenda kanisani kwa kakobe, mzee wa upako, gwajima, n.k utapata mume mwema...

hapa labda kama unataka kuendelea kudanga
 
Uliposema mrefu tu ndio nikajua hujaokoka.
Wanawake wakristo wacha Mungu hawana vigezo vya kijingajinga katika kumtafuta mume.
Be spirituality not materiality.
Urefu, ufupi, weusi, weupe, ukabila n.k ni vitu vya kimwili sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona picha hamuweki, ntajuaje kweli unafaa..

I don't like surprise
 
Back
Top Bottom