Natafuta mume mwema

Natafuta mume mwema

Vyeria,
Wewe umeokoka, si unajua mume/mke mwema anatoka kwa bwana na ww tayari uko huko? Ni suala la muda tu tayari umeshapata
 
Inakuakuaje mpaka mwanamke mrembo mwenye tabia njema ukose kuolewa ujianike JF? Sorry kama swali langu lipo nje ya mada
Habari zenu wana jamii forum

Mwenzenu natafuta mume, mtaani wapo wanaokuja lakini bado sijapata tunayeendana kitabia.

Nimeona nijaribu na huku
Sifa zake
1.Mume Mkristo aliyeokoka
2.Mchapakazi
3.Mrefu, age 30 na kuendelea

Mimi
Miaka 28
Elimu ya chuo
Mchapakazi
Mcha Mungu

Karibu pm






Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom