Natafuta mume mwema!

Natafuta mume mwema!

lissa cooper

Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
22
Reaction score
12
mie ni msichana mwenye umri wa miaka 28,nimeajiriwa serikalini,natafuta mchumba ambaye tunaweza funga pingu za maisha,umri awe na miaka 29-35,awe mkristo rc,elimu degree na kuendelea,mwenye vigezo anipm,nipo serious pls
 
Kuwa makini kuna kina YAHAYA pia!
 
Mimi nipo Goma kwa Sasa...ila nikirudi tutaoana, vigezo vyote ninavyo kasoro hiyo ya degree...nina certificate ya kutoka pale Kivukoni....
 
I am aged 29 years, working in private co. RC. will I match your interest? where ar u geographically? unfortunately enough i am unable to situate my contacts unless you provide feedback 2me..
 
nina vigezo kidogo ulivyotaja,degree ninayo,me cyo m-rc ila ni mkristo,umri wangu ni miaka 26,cna kazi bado natafuta.vp ninafaa,ni-pm bhasi
 
I am aged 29 years, working
in private co. RC. will I match your interest? where ar u
geographically? unfortunately enough i am unable to situate my contacts
unless you provide feedback 2me..

mhh we nawe si umeambiwa uende pm kama you are interested.
 
mie ni msichana mwenye umri wa miaka 28,nimeajiriwa serikalini,natafuta mchumba ambaye tunaweza funga pingu za maisha,umri awe na miaka 29-35,awe mkristo rc,elimu degree na kuendelea,mwenye vigezo anipm,nipo serious pls

Miaka 28 hujaolewa ,hayaa ngoja nipite tu
 
Back
Top Bottom