ngumba njeche
Senior Member
- Jan 22, 2017
- 184
- 146
Mim sina hivyo vigezo nina baisker tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Giza totoro [emoji118] totally abusive language .... and it isn't fair at all to those insultedMbona Mwanza, mara musoma kagera wao ni Giza totoro wakati ni wa kaskazini? Sema kaskazini mashariki
Giza totoro [emoji118] totally abusive language .... and it isn't fair at all to those insulted
Tatizo huo umri ndio mtihani kwangu, legeza kidogo masharti bibie
Mie ni miongoni mwa hao wa mikoa tajwa .... by the way yashapita hayo ....Wenyewe hawaja mind, and its not that serious
[emoji118] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Ni pm nikupe kaka angu
OkayHabari wanajamvi,
Mimi ni mwanamke wa miaka 33, niko Arusha, Mkristo Mcha Mungu.
Natafuta mume miaka 33 hata 36, awe Mkristo Mcha Mungu.
Kujuana zaidi njoo PM.