Natafuta mume mwenye VVU

Natafuta mume mwenye VVU

Mbony

New Member
Joined
Nov 15, 2017
Posts
1
Reaction score
1
Habarini, wanaJamii,

Mimi ni msichana umri 28_30, ni mkristo, nina elimu ya Chuo kikuu, nina tafuta mume mkristo mwenye hali kam yangu, awe na miaka kati ya 30_40.

MWENYE SIFA ZIFUATAZO:
Awe ana kazi ya kumuingizia kipato, awe mrefu maji ya kunde, awe mkristo, awe tayari kufunga ndoa takatifu, asiwe anatumia kilevi, awe hajawai kuoa, awe ajaugua kwa miaka mingi coz mimi nina miezi kadhaa na bado sijatumia dawa.

N:B ALIYE SERIOUS ANITAFUTE COZ NIKO SERIOUS NA HILI NAPATIKANA DAR nicheck on my email jenitzjeni@gmail.com, sichagui kabila.
 
Habarini ,wanaJamii mm ni msichana uumri 28_30,ni mkristo, nina elimu ya Chuo kikuu ,nina tafuta mume mkristo mwenye hali km yangu, awe na miaka kati ya 30_40MWENYE SIFA ZIFUATAZO:awe ana kazi ya kumuingizia kipato,awe mrefu maji ya kunde,awe mkristo,awe tayali kufunga ndoa takatifu ,asiwe anatumia kilevi,awe ajawai kuoa, awe ajaugua Kwa miaka mingi coz mm nina miezi kadhaa na bado cjatumia dawa
N:B ALIYE SERIOUS ANITAFUTE COZ NKO SERIOUS NA HILI NAPATIKANA DAR nicheck on my email jenitzjeni@gmail.com
Huwa sipendi Wazigua...potelea karibu mniite mkabila!! Wazigua washirikina sana hata wangekuwa wakristu
 
Ukimwi ni kama pesa kila mtu anasema hana. Wachangajiaji wote hapa kila mtu atajionesha kuwa hana
 
Pole dada yangu, Mungu akujalie umpate mwenza wako.
 
Kazi umri na hiyo sifa kuu ndiyo sina ila unaonekana ni binti wa kujenga maisha kabisa na mtu.

Nakutakia kila lililo jema
 
We si umemaliza NECTA juzi tu hii pale TANGA?
Na ushakata tamaa ya kufaulu,na Ulikuwa unatembeza kweli hiyo tunu basi subir waje.
 
Heee! lkn sipaswi kushangaa sana kwa sababu ktk hali ya kawaida ni ngumu kumpata mtu wa aina hiyo . Hivyo jf yaweza kuwa mahali sahihi!
 
Duuh! pole sana mama. Mungu atasaidia, tunakuombea sana kwa kweli.
 
Nakushauri Dada yangu, nenda kwenye zahanati za watoa huduma kuhusu VVU wakunganishe na wadau wengine weny status kama hii, japo ujachelewa kutafuta umu lakin, jaribu zile kongomano na exposures za watu wa hali yako, natumai utampata mtu kama wewe mkaridhiana, pole na kila la heri.
 
Kwakweli huu Uzi umeniuma dah, nahisi maumivu sana.

Pole Dada mungu ni kwema. Kuna Dada namjua ana hali kama yako Bahati mbaya akiwa na umri wa 22 alikutana na mkaka kumbe mkaka HIV dah akamuambukiza na mimba juu.

Baadae mkaka kaingia miti, Dada wa watu ameteseka kulea na sisi marafiki hasa Mimi nimemsaidia ninapoweza . Mtoto kawa mkubwa sasa.

Kinachomuuma anadai hajui raha ya mapenzi. Yaani hakuwahi kuwa na mwanaume yeyote.

Pili kwa shape aliyokuwa nayo kila mwanaume anamtaka ila wote anawakataa maana siri anaijua mwenyewe.

Kuna wakaka Watatu wote wako tiyari kwa ndoa, ila wote hawapi hata nafasi ya kujieleza maana roho inamuuma.

Hawa wote Watatu, wawili wamefika kwao na Dada wakitaka uchumba, wazazi wa binti waliwakwepa kwa kuwambia waelewane na na binti.

Inauma sana juzi alikuwa analia eti kwa nini yeye.

Ee mungu waponye kwa muujiza waliopata huu ugonjwa kwa kuambukizwa na wanafiki.

Inauma sana pole dia. Mungu atakupa hitaji lako.
 
Amina
 
Back
Top Bottom