Wewe ni nani mpaka ujue atakufa mapema na kuacha watoto !!!Kwanini unataka kupata familia, mpate watoto baada ya muda muwaache yatima wakisumbuka na ulimwengu? Huoni utakuwa umekidhi haja yako kwa kuzalisha huzuri sehemu nyingine. Labda msipate watoto.
Wanaweza pata watoto ambao ni salamaKwanini unataka kupata familia, mpate watoto baada ya muda muwaache yatima wakisumbuka na ulimwengu? Huoni utakuwa umekidhi haja yako kwa kuzalisha huzuri sehemu nyingine. Labda msipate watoto.
Kauli mbiu ya IAAGraduate with AIDS and not A's. Pole sana
Najua ndiomaana nikawaambia kwanini wanataka kuwaacha mayatima wakiteseka?Wanaweza pata watoto ambao ni salama
Ulisema unahitaji mke. Huyo hapo kazi kwako. Mm nishaoa muda mrefu na nina watoto 3. Mmoja yupo form 2, mwingine darasa la 6 na mwingine darasa la 3.Naona watu humu wanacheka na kumbeza dada wa watu kana kwamba wao ni wakamilifu sana ,ila niwaambie kitu wote tutakufa tu ,tena wengne kwa magonjwa makubwa kuliko hili lililozoeleka ...
acheni ujinga
Kama huna cha kuchangia ni bora ukakaa kmyaa ...
Huwa mbn wanaishi mda mrefu wakizingatia masharti ata 20 years wanafikisha pia hakuna mtu mwenye guarantee ya maisha,wote tunaishi kwa matumaini ya kuiona keshoNajua ndiomaana nikawaambia kwanini wanataka kuwaacha mayatima wakiteseka?
Naunga mkono hoja,ila wangap wenye ujasiri kama wa uyu Dada wa kujitokeza?Kuna haja ya kuwa na uzi wa hawa wenzetu ili kuwarahisishia kukutana hapa jamvini.
Nakubali lakini ujue mgonjwa ni tofauti kbs na mtu mzima kiafya, kuishi miaka 20 mbele sikatai ila ukumbuke sisi ni binadamu kuna kupata na kukosa, ikitokea wamekosa hawatofika hiyo miaka 20. Ingekuwa ni watu ambao tayari wana pesa ningesema watawaandalia watoto mazingira mazuri kisheria, lakini ndio kwanza wanatafuta.Huwa mbn wanaishi mda mrefu wakizingatia masharti ata 20 years wanafikisha pia hakuna mtu mwenye guarantee ya maisha,wote tunaishi kwa matumaini ya kuiona kesho
Pengine atapata mwenye pesa,Mungu amtangulie apate mume boraNakubali lakini ujue mgonjwa ni tofauti kbs na mtu mzima kiafya, kuishi miaka 20 mbele sikatai ila ukumbuke sisi ni binadamu kuna kupata na kukosa, ikitokea wamekosa hawatofika hiyo miaka 20. Ingekuwa ni watu ambao tayari wana pesa ningesema watawaandalia watoto mazingira mazuri kisheria, lakini ndio kwanza wanatafuta.
Akimpata mwenye pesa hatompata mwenye mapenzi aliyonayo huyu dadaPengine atapata mwenye pesa,Mungu amtangulie apate mume bora
Jaman afanyaje sasa?apate asiye na pesa mwenye mapenzi ya kweli ila asipate watoto au apate mwenye pesa asiye na mapenzi ya kweli ila apate watoto?Akimpata mwenye pesa hatompata mwenye mapenzi aliyonayo huyu dada
Kupanga ni kuchaguaJaman afanyaje sasa?apate asiye na pesa mwenye mapenzi ya kweli ila asipate watoto au apate mwenye pesa asiye na mapenzi ya kweli ila apate watoto?