Natafuta mume mwenye VVU

Natafuta mume mwenye VVU

Uo ni mtego wenda hana ila atakayejitokeza mkaenda pima unakuta -neg so iyo nikupunguza wasumbufu PM kua mjanja
 
Wewe huna kazi unataka mwenye kazi, hao wa hivyo utawapata kwenye VCT
 
Graduate with AIDS and not A's. Pole sana
 
Ndio maana tunasisitizwa tumkumbuke Mungu wakati wa ujana wetu.. Ujana ni maji ya moto jmn, yanapotukuta ndio huwa tunamkumbuka Mungu. Mungu akakusaidie na ukapate haja ya moyo wako, mkatumikie Mungu daima
 
Naona watu humu wanacheka na kumbeza dada wa watu kana kwamba wao ni wakamilifu sana ,ila niwaambie kitu wote tutakufa tu ,tena wengne kwa magonjwa makubwa kuliko hili lililozoeleka ...

acheni ujinga
Kama huna cha kuchangia ni bora ukakaa kmyaa ...
 
Ulisema unahitaji mke. Huyo hapo kazi kwako. Mm nishaoa muda mrefu na nina watoto 3. Mmoja yupo form 2, mwingine darasa la 6 na mwingine darasa la 3.
 
Kuna haja ya kuwa na uzi wa hawa wenzetu ili kuwarahisishia kukutana hapa jamvini.
Naunga mkono hoja,ila wangap wenye ujasiri kama wa uyu Dada wa kujitokeza?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huwa mbn wanaishi mda mrefu wakizingatia masharti ata 20 years wanafikisha pia hakuna mtu mwenye guarantee ya maisha,wote tunaishi kwa matumaini ya kuiona kesho
Nakubali lakini ujue mgonjwa ni tofauti kbs na mtu mzima kiafya, kuishi miaka 20 mbele sikatai ila ukumbuke sisi ni binadamu kuna kupata na kukosa, ikitokea wamekosa hawatofika hiyo miaka 20. Ingekuwa ni watu ambao tayari wana pesa ningesema watawaandalia watoto mazingira mazuri kisheria, lakini ndio kwanza wanatafuta.
 
Pengine atapata mwenye pesa,Mungu amtangulie apate mume bora
 
Akimpata mwenye pesa hatompata mwenye mapenzi aliyonayo huyu dada
Jaman afanyaje sasa?apate asiye na pesa mwenye mapenzi ya kweli ila asipate watoto au apate mwenye pesa asiye na mapenzi ya kweli ila apate watoto?
 
Back
Top Bottom