KwakweliKupanga ni kuchagua
Binafsi ningemshauri huyo dada atafute mwanaume wanaeweza kuishinae bila kuzaa watoto ili kuepusha kuacha machozi/masononeko nyuma pindindi Mungu akimwita, mimi nikiwaona watoto wa mitaani huwa naumia sana. Napenda sana watoto.Kwakweli
Kuna aliekuuliza hayo yote ! kitulize basUlisema unahitaji mke. Huyo hapo kazi kwako. Mm nishaoa muda mrefu na nina watoto 3. Mmoja yupo form 2, mwingine darasa la 6 na mwingine darasa la 3.
Hayo ndiyo majibu ya maelezo uliyoandika. Huwezi kuwaombea watu watakufa kwa ugonjwa mkubwa wakati UKIMWI njia kuu na wengi wameupata ni kwa njia ya ngono. Utamalizia maelezo hapo.....Kuna aliekuuliza hayo yote ! kitulize bas
Rudia tena kusoma..[emoji20]Mbona kama anamaanisha natafuta mume kwenye MMU
Naitwa holyholy nina miaka 29. Nina elimu ya Chuo kikuu but bado sijapata ajira.
Natafuta mwanaume mkristo,mwenye kazi ya kumuuingizia kipato,awe tayali kufunga ndoa takatifu, awe mrefu, maji ya kunde, asiwe mlevi na pia awe ana hofu ya Mungu.
claudiaforum2018@gmail.com
Hiyo ni mipango ya mungu mkuu,mimi kuna mtu namfahamu tokea mwaka 1985 anaishi na hiyo hali....Binafsi ningemshauri huyo dada atafute mwanaume wanaeweza kuishinae bila kuzaa watoto ili kuepusha kuacha machozi/masononeko nyuma pindindi Mungu akimwita, mimi nikiwaona watoto wa mitaani huwa naumia sana. Napenda sana watoto.
Acha kuvunja watu moyo,aliokwambia kuwa muathirika wa ukimwi ndio kufa mapema ni nani?fikiria mara mbili kabla ya kuandika mkuuKwanini unataka kupata familia, mpate watoto baada ya muda muwaache yatima wakisumbuka na ulimwengu? Huoni utakuwa umekidhi haja yako kwa kuzalisha huzuri sehemu nyingine. Labda msipate watoto.
Daah!!!wewe ndiyo mwisho wa kufikiri kwako?jaribu kupitia vitabu,majarida,hata uwe unaangalia documentary kama kusoma ni mvivu,wantia aibu kwa ulichoandika,yaani unaongelea mambo ya early 80's,kabla utafiti wakutosha haujafanyika,jamii forum is no longer great thinker anymore siku hizi,acha porojo!!!!Kwanini unataka kupata familia, mpate watoto baada ya muda muwaache yatima wakisumbuka na ulimwengu? Huoni utakuwa umekidhi haja yako kwa kuzalisha huzuri sehemu nyingine. Labda msipate watoto.
Upo sahihi mkuu,much respect kwakoNaona watu humu wanacheka na kumbeza dada wa watu kana kwamba wao ni wakamilifu sana ,ila niwaambie kitu wote tutakufa tu ,tena wengne kwa magonjwa makubwa kuliko hili lililozoeleka ...
acheni ujinga
Kama huna cha kuchangia ni bora ukakaa kmyaa ...
Good ideaKuna haja ya kuwa na uzi wa hawa wenzetu ili kuwarahisishia kukutana hapa jamvini.
Lispokupata wewe litampata mwanao , utajilinda wewe lakini hutomlinda mkeo . Sio wote wanaopata hili tatzo ni wamejitakia wengne wanajilinda kama wewe lakini ndo hivyo tena yanawakuta ya kuwakuta ..Hayo ndiyo majibu ya maelezo uliyoandika. Huwezi kuwaombea watu watakufa kwa ugonjwa mkubwa wakati UKIMWI njia kuu na wengi wameupata ni kwa njia ya ngono. Utamalizia maelezo hapo.....
Kila mtu akitulia. Maambukizi ya ugonjwa wa UKIMWI yatatulia.
Mkuu sio miaka ishirini hata miaka 80Huwa mbn wanaishi mda mrefu wakizingatia masharti ata 20 years wanafikisha pia hakuna mtu mwenye guarantee ya maisha,wote tunaishi kwa matumaini ya kuiona kesho
Yawezekana mie ndio nilikuwa kwa kwanza,pitia uzi wangu wa tarehe 25/12/2017Naunga mkono hoja,ila wangap wenye ujasiri kama wa uyu Dada wa kujitokeza?
Kuna watu wamefikisha 30yrs na hiyo hali,hata kabla dawa hazijaanza kutumia,tena wako vijijini ndani kabisa,na shughuli zao ni kilimo,mlo mmoja au miwili kukiwa na neema,wako vizuri na wanaendela na maisha yaoya kila siku,wala hawafikirii hilo swala kuwazuia kuendelea na maisha yao ya kila siku!!!naongelea mifano hai,naingiaga field kwa utafiti kuhusiana na hayo maswalaNakubali lakini ujue mgonjwa ni tofauti kbs na mtu mzima kiafya, kuishi miaka 20 mbele sikatai ila ukumbuke sisi ni binadamu kuna kupata na kukosa, ikitokea wamekosa hawatofika hiyo miaka 20. Ingekuwa ni watu ambao tayari wana pesa ningesema watawaandalia watoto mazingira mazuri kisheria, lakini ndio kwanza wanatafuta.
Naunga mkono hoja,ila wangap wenye ujasiri kama wa uyu Dada wa kujitokeza?
Mkuu naweza kupata namba yako ya Wasapu? Naona kunavitu nataka uniongoze (kiimani)Mwombe Mungu sana, sana. Hakika utapona.
Inabidi umwombe sana sana kama ninavyokusisitizia.
Ni amini na kweli.