Natafuta mume mwenye VVU

Natafuta mume mwenye VVU

Binafsi ningemshauri huyo dada atafute mwanaume wanaeweza kuishinae bila kuzaa watoto ili kuepusha kuacha machozi/masononeko nyuma pindindi Mungu akimwita, mimi nikiwaona watoto wa mitaani huwa naumia sana. Napenda sana watoto.
 
Ulisema unahitaji mke. Huyo hapo kazi kwako. Mm nishaoa muda mrefu na nina watoto 3. Mmoja yupo form 2, mwingine darasa la 6 na mwingine darasa la 3.
Kuna aliekuuliza hayo yote ! kitulize bas
 
Kuna aliekuuliza hayo yote ! kitulize bas
Hayo ndiyo majibu ya maelezo uliyoandika. Huwezi kuwaombea watu watakufa kwa ugonjwa mkubwa wakati UKIMWI njia kuu na wengi wameupata ni kwa njia ya ngono. Utamalizia maelezo hapo.....
Kila mtu akitulia. Maambukizi ya ugonjwa wa UKIMWI yatatulia.
 
Naitwa holyholy nina miaka 29. Nina elimu ya Chuo kikuu but bado sijapata ajira.

Natafuta mwanaume mkristo,mwenye kazi ya kumuuingizia kipato,awe tayali kufunga ndoa takatifu, awe mrefu, maji ya kunde, asiwe mlevi na pia awe ana hofu ya Mungu.
claudiaforum2018@gmail.com

Pole sana. Kwann utafute mwenye kazi wakati ww hauna ajira? Siku hizi watu hawaoi mama wa nyumbani.

Kwa hali yako. Hivyo vigezo usingeviweka.
 
Binafsi ningemshauri huyo dada atafute mwanaume wanaeweza kuishinae bila kuzaa watoto ili kuepusha kuacha machozi/masononeko nyuma pindindi Mungu akimwita, mimi nikiwaona watoto wa mitaani huwa naumia sana. Napenda sana watoto.
Hiyo ni mipango ya mungu mkuu,mimi kuna mtu namfahamu tokea mwaka 1985 anaishi na hiyo hali....
 
Usijali sister! Unajua inachukua miaka 10 kutoka HIV hadi kuwa AIDS bila ya kutumia dose mtu akitumia dose anaongeza mwingine kama 20 hivi zaidi kwa hiyo kuna miaka zaidi ya 30 guarantee ya kuishi.. So relax and do what you always do best. Ningesikia una cancer au kisukari ningesikitika sana ila HIV is not deadly anymore kama zamani. Research zina sema kwamba virus wamefubaa kiuwezo sio kama zamani...!

Matter if fact, sumu ya kutosha ya nyuki...bee venom inaweza kuua HIV virus ikiumiwa kwa kiwango flani. Kuna maelfu Duniani wamepona HIV because they have audacity ya kupona. Hamna cha kuishi kwa matumaini just open your eyes na uamini utapona.

And trust me for the next 10 years Dr Khalil wa US asipogundua Dawa ya HIV basi hautopona tena..hii ni kutokana na utafiti wake wa "cell editing" kufanikiwa kwa kiwango kikubwa sana two years passed.

Guys tusiwanyooshee vidole wenzetu walioathirika na huu ugonjwa maana umekaa pabaya sana..kwenye utamu yaani ndo shetani kaweka Mchanga...! Tukiona mwenzetu kaupata tujue we are next maana yeye kaishamalizana nao...hivyo tunaofuata ni sisi.

Usijali utapata wako na utapona soon.
 
Kwanini unataka kupata familia, mpate watoto baada ya muda muwaache yatima wakisumbuka na ulimwengu? Huoni utakuwa umekidhi haja yako kwa kuzalisha huzuri sehemu nyingine. Labda msipate watoto.
Acha kuvunja watu moyo,aliokwambia kuwa muathirika wa ukimwi ndio kufa mapema ni nani?fikiria mara mbili kabla ya kuandika mkuu
 
Kwanini unataka kupata familia, mpate watoto baada ya muda muwaache yatima wakisumbuka na ulimwengu? Huoni utakuwa umekidhi haja yako kwa kuzalisha huzuri sehemu nyingine. Labda msipate watoto.
Daah!!!wewe ndiyo mwisho wa kufikiri kwako?jaribu kupitia vitabu,majarida,hata uwe unaangalia documentary kama kusoma ni mvivu,wantia aibu kwa ulichoandika,yaani unaongelea mambo ya early 80's,kabla utafiti wakutosha haujafanyika,jamii forum is no longer great thinker anymore siku hizi,acha porojo!!!!
 
Hayo ndiyo majibu ya maelezo uliyoandika. Huwezi kuwaombea watu watakufa kwa ugonjwa mkubwa wakati UKIMWI njia kuu na wengi wameupata ni kwa njia ya ngono. Utamalizia maelezo hapo.....
Kila mtu akitulia. Maambukizi ya ugonjwa wa UKIMWI yatatulia.
Lispokupata wewe litampata mwanao , utajilinda wewe lakini hutomlinda mkeo . Sio wote wanaopata hili tatzo ni wamejitakia wengne wanajilinda kama wewe lakini ndo hivyo tena yanawakuta ya kuwakuta ..

tujaribu kuwa na lugha nzuri tu
 
Nakubali lakini ujue mgonjwa ni tofauti kbs na mtu mzima kiafya, kuishi miaka 20 mbele sikatai ila ukumbuke sisi ni binadamu kuna kupata na kukosa, ikitokea wamekosa hawatofika hiyo miaka 20. Ingekuwa ni watu ambao tayari wana pesa ningesema watawaandalia watoto mazingira mazuri kisheria, lakini ndio kwanza wanatafuta.
Kuna watu wamefikisha 30yrs na hiyo hali,hata kabla dawa hazijaanza kutumia,tena wako vijijini ndani kabisa,na shughuli zao ni kilimo,mlo mmoja au miwili kukiwa na neema,wako vizuri na wanaendela na maisha yaoya kila siku,wala hawafikirii hilo swala kuwazuia kuendelea na maisha yao ya kila siku!!!naongelea mifano hai,naingiaga field kwa utafiti kuhusiana na hayo maswala
 
Aisee kwa hesabu ya haraka haraka nimewaona at least 10 humu KE na ME wakitafuta wenzio wao wenye hali kama hii.

Naunga mkono hoja,ila wangap wenye ujasiri kama wa uyu Dada wa kujitokeza?
 
Mwombe Mungu sana, sana. Hakika utapona.
Inabidi umwombe sana sana kama ninavyokusisitizia.
Ni amini na kweli.
Mkuu naweza kupata namba yako ya Wasapu? Naona kunavitu nataka uniongoze (kiimani)
 
Back
Top Bottom